Mwigulu: Walimpiga Lissu risasi ili ionekane ni Serikali

Mwigulu: Walimpiga Lissu risasi ili ionekane ni Serikali

TOKA MAKTABA :

23 May 2026
Bonn, Ujerumani

Mtizamo wa Mchambuzi : Mwigulu Lameck Nchemba si chaguo la wengi kuwa Waziri Mkuu | DW Kiswahili

View: https://m.youtube.com/watch?v=S2_P4gEy-8Q
Baada ya Mwigulu Lameck Nchemba kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu mpya Tanzania na jina lake kuidhinishwa na Bunge la chama kimoja dola mjini Dodoma

je wachambuzi wanamtizama vipi? DW Imezungumza na mchambuzi wa siasa Gwandumi Mwakatobe ni hii ndiyo tathmini yake
View attachment 3593855
Photo : Gwandumi Mwakatobe
 
Haielewekagi huyu..

Sijui hao anaowaongoza humwelewa kwa njia gani tu...
Siku aliyoitisha press na waandishi kujibu maswali ya Oct29 ndo siku nilipojihakikishia jamaa alisoma kwa kukariri zaidi au labda dunia inaenda kasi kuliko yeye cause anazungumza vitu kama vile taarifa anazipata peke yake na wengine hamna wanachojua.
 
Hebu fikiri tu kuwa, huyu eti ndiye PM wa Tanganyika. Ndiye mshauri wa karibu wa Rais Samia. Kwanini tuendelee kushangaa kwa kuwa na serikali inayojua kuteka, kutesa, kufira, kulawiti na kuua tu wakosoaji wake..?

Kwa sababu, ukimsikiliza huyu jamaa (Nchemba), unakosa kabisa coordination ya kimantiki ya kila neno na hoja inayotoka kinywani mwake. Kwa kifupi ni kuwa, huyu bwana ni mropokaji mbumbumbu tu...!!

Soma nukuu ya alichosema Leo kule Songea akiongea na wananchi
==================​
"Walimpiga kiongozi wa upinzani(Lissu) risasi ili ionekane ni serikali" - Mwigulu Nchemba

Kumbe huyu Mwigulu anamfahamu mpiga risasi wa Tundu Lissu ile Septemba 7, 2017 Dodoma, lakini serikali yao inamuacha tu bila kumkamata na kumfikisha kwenye vyombo vya sheria?

Kwanini Mwigulu Nchemba anaacha serikali yao inachafuliwa wakati kumbe wanamjua aliyempiga risasi Tundu Lissu..??

Hii maana yake ni kuwa, kumbe HATA SASA YULE ALIYEMPIGA RISASI TUNDU LISSU MWAKA 2017 NDIYE HUOHUYO KAMTENGENEZEA KESI YA UONGO, KAMWEKA JELA TUNDU LISSU - KIONGOZI WA UPINZANI ILI IONEKANE NI SERIKALI IMEFANYA HIVYO, AU SIYO ndugu Tlaatlaah, Dr wa Manesi na Lucas Mwashambwa?

Huyu PM wenu bila shaka ni Mbumbumbu tu katika ubora wake.

View attachment 3593811
Pascal Mayalla huyu msomi wenu wa PhD amepatwa na nini? Ni kuchanganyikiwa au ndo kurogwa kwenyewe huku...?
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    71.3 KB · Views: 14
Back
Top Bottom