Hebu fikiri tu kuwa, huyu eti ndiye PM wa Tanganyika. Ndiye mshauri wa karibu wa Rais Samia. Kwanini tuendelee kushangaa kwa kuwa na serikali inayojua kuteka, kutesa, kufira, kulawiti na kuua tu wakosoaji wake..?
Kwa sababu, ukimsikiliza huyu jamaa (Nchemba), unakosa kabisa coordination ya kimantiki ya kila neno na hoja inayotoka kinywani mwake. Kwa kifupi ni kuwa, huyu bwana ni mropokaji mbumbumbu tu...!!
Soma nukuu ya alichosema Leo kule Songea akiongea na wananchi
==================
"
Walimpiga kiongozi wa upinzani(Lissu) risasi ili ionekane ni serikali" - Mwigulu Nchemba
Kumbe huyu Mwigulu anamfahamu mpiga risasi wa Tundu Lissu ile Septemba 7, 2017 Dodoma, lakini serikali yao inamuacha tu bila kumkamata na kumfikisha kwenye vyombo vya sheria?
Kwanini Mwigulu Nchemba anaacha serikali yao inachafuliwa wakati kumbe wanamjua aliyempiga risasi Tundu Lissu..??
Hii maana yake ni kuwa, kumbe HATA SASA YULE ALIYEMPIGA RISASI TUNDU LISSU MWAKA 2017 NDIYE HUOHUYO KAMTENGENEZEA KESI YA UONGO, KAMWEKA JELA TUNDU LISSU - KIONGOZI WA UPINZANI ILI IONEKANE NI SERIKALI IMEFANYA HIVYO, AU SIYO ndugu
Tlaatlaah,
Dr wa Manesi na
Lucas Mwashambwa?
Huyu PM wenu bila shaka ni Mbumbumbu tu katika ubora wake.
View attachment 3593811
Pascal Mayalla huyu msomi wenu wa PhD amepatwa na nini? Ni kuchanganyikiwa au ndo kurogwa kwenyewe huku...?