Mwigulu: Wananchi wanaenda kupata fedha nyingi, watazoea makato

Kipi kilipaswa kutangulia, yai au kuku? Hela au makato?
 
Ila watanzania pia tujaribu kushauri ..je ingefanyika kitu gani ili serikali ipate fedha za kugharimia vitu kama barabara za lami vijijini..shuke zilizobireka vijijin..na kutoa ahira za walimu na watu wa afya..Naomba tutoe mawazo
Wabane matumizi kama kuacha kununua mashangingi watumie gari za kawaida, posho zipungue, bajeti za chai zipungue au ziondoke ni. Vikao Vya binge vilipwe posho ndiyo elfu 50 kwa kikao ni. Pia walipe Kodi ya PAYE.
 
Acha nihifadhi tusi langu kwa matumizi ya baadae.
 
Ila watanzania pia tujaribu kushauri ..je ingefanyika kitu gani ili serikali ipate fedha za kugharimia vitu kama barabara za lami vijijini..shuke zilizobireka vijijin..na kutoa ahira za walimu na watu wa afya..Naomba tutoe mawazo
Sahihisha kidogo mwandiko mkuu Mimi sijakuelewa
 
Anaongea pumba kwa kuwa anajua wa TZ, ni wapumbavu na malofa hivyo hawawezi kupinga alichopanga
 
Madeni yapi tena! Mlisema mmeyamaliza kwa pesa yetu ya ndani sasa hayo yametoka wapi?
 
Kwann corona bado inahurumia watu dhalimu isiiishe bila kuondosha wasio na faida duniani.
 
Kwani kila mwananchi anaidai serikali? huu uongo wake hautoshi, angesema serikali imejiandaa kugawa fedha kama pipi mitaani ningeuelewa huo uongo wake, naona sasa ameamua kubuni kila aina ya jibu kila anapoulizwa hilo swali.

Kama serikali inafedha hizo anazosema itagawa, kwanini imeleta hizo tozo?
 
mwigulu ni poyoyo asiejua lolote inasikitisha kupewa wizara nyeti kama hiyo.
 
Hii nchi tuna ma professor wa uchumi tuna kwama wapi kwanin tusipate ushauri kutoka kwao na tuweke Mambo ya siasa pembeni hii ni elimu sio siasa
 
Mbona tushasahau.
Tushagoma ngoja tuone mapato ya kodi yatakua bei gani this month
 
Wapunguze Tozo

Hicho walicholenga kupata kupitia hizi Tozo za kizalendo watakikosa.
Mkuu washakosa.
Kwa sasa miamala kwa kutumia simu imepungua.
So makampuni ya simu yamekosa taxable income na pia tax from miamala itakua ndogo.
Bora wangeacha wangepata tax toka makampuni ya simu
 
Ila watanzania pia tujaribu kushauri ..je ingefanyika kitu gani ili serikali ipate fedha za kugharimia vitu kama barabara za lami vijijini..shuke zilizobireka vijijin..na kutoa ahira za walimu na watu wa afya..Naomba tutoe mawazo
Weka kwenye bia na kitimoto[emoji849][emoji849][emoji849]
 
huyu mnyiramba ametuchoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…