Mwigulu: Watumishi wala rushwa TRA watimuliwe na wafikishwe Mahakamani

Huyu aliazimwa tu .....miaka 3 tu ameweza kunyoosha zbar wanafurahi sanaaaa.....kuondoka amewanyooshaa sana hadi kufanikiwa kuanzisha ZRA....amekoswa koswa sana sumu hukom....anakuja Tz anajua kila kituu
Kwamba kuna mtu hajui wizi wa bandarini? ataweza kuwazuia kuiba waliomweka hapo? soma kitabu cha Mkapa aliweza kutoa zaidi ya bilioni 100 BOT zikasaidie uchaguzi wa CCM na hakukamatwa wala kuhojiwa.
 
Blah blah blah......
Maneno mengi bila kitendo!
Tumewachoka kabisa...
 
Kwamba kuna mtu hajui wizi wa bandarini? ataweza kuwazuia kuiba waliomweka hapo? soma kitabu cha Mkapa aliweza kutoa zaidi ya bilioni 100 BOT zikasaidie uchaguzi wa CCM na hakukamatwa wala kuhojiwa.
Atasaidia kidogo tu sio kwamba ni boya moja kwa moja.....atazuia kidogo kwa uwezo wake
 
Kama kuna nia ya dhati ya kupunguza rushwa basi boresheni mifumo ili kupunguza afisa kukutana na mfanya biashara.

Angalau wewe umechangia kwa akili na sio husuda na mihemko na kufuata mkumbo.

Tutoe hoja ambazo ni constructive na endelevu zenye kupunguza au kukomesha tatizo badała ya kuhumu watu kiujumla jumla.
 



Mwiguru anajitahidi kufanya kazi nzuri ni vile tu wengine tunajadli kwa kufuata mkumbo na mihemko badała ya kutumia nguvu ya hoja.

Kwa wastani anafanya vizuri ni vile tu labda Wengine wako na mambo yao binafsi nae labda .
 
Broo mifumo ya wizi wa nchi hii inatoka juu kushuka chini, huwezi kuiba kama boss wako siyo mwizi, nani ataidhinisha?
Si nyakati zote. Kuna wakati afisa anakula hata boss hana habari.

Afisa wa ukaguzi anaweza akakubali majibu mepesi na kuiondoa hoja aliyoipachika au akakupa namna ya kuijibu ili ikubalike kabla hata hujaijibu katika mfumo rasmi na wala boss wake asijue.
 

Dawa ni kuondoa physical interaction kati ya mlipakodi na afisa.
Yani mfumo ukimpatia makadirio ya kodi asijulikane afisa kodi gani atahusika kuendelea na hiyo kazi.
 
Dawa ni kuondoa physical interaction kati ya mlipakodi na afisa.
Yani mfumo ukimpatia makadirio ya kodi asijulikane afisa kodi gani atahusika kuendelea na hiyo kazi.


Tatizo maofisa wengi wa nchi yetu wakienda nchi za wenzetu kikazi hawaendi kujifunza kuja kuboresha kwetu bali wanaenda kama Matembezi au kwenda vacation na adventure huku wako tumia Hela za wananchi bila tija.

Kenya wamewezaje kwetu ishindikane?
 
Kuna rejesho huwa wanatakiwa kufanya, boss siku zote hakusanyi rushwa analetewa, unadhani kwenye mifumo yao haoni report? zote zilizopunguzwa huwa wanakaa mezani kujadili hapa umepokea ngapi au kabla huyu akiomba kupunguziwa mwambie atoe kiasi fulani. Huwezi kula rushwa kama boss hali rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…