Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao maboss wa TRA wanatamba Sana mtaani ndiyo maana na Sisi hatulipi Kodi, haiwezekani baadhi ya wafanyakazi waishi maisha ya wizi huku wafanyabiashara tukitaabika na biashara zetu...
Hakuna Fala anaweza kukubali kulipa Kodi kwenye mazingira hayaa
Wanafikiri mkurugenzi wa sasa atakuwa tofauti na alieondolewa!!
Mitano tena
Mfanyakazi wa chini hawezi kuiba kama boss wake haibi
Takukuru ifutwe! Hakuna kazi wanayofanya nchini! Wanakula mishahara ya bure tu!View attachment 3041028
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amemwagiza Kamishna Mkuu Mpya wa TRA, Yusuph Juma Mwenda, kuwachukulia hatua kali za kisheria na kinidhamu ikiwemo kuwafukuza kazi baadhi ya watumishi wa Mamlaka hiyo wanaokiuka maadili ya kazi zao ikiwemo kudai na kupokea rushwa, kwa kuwa vitendo hivyo vinaitia doa Mamlaka na kuikosesha Serikali mapato.
Mhe. Dkt. Nchemba, amesema hayo wakati akihitimisha Kikao cha Tathmini ya Utendaji Kazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024, kilichofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha (AICC).
Aidha, Dkt Nchemba, amemwagiza Kamishna huyo kuwachukulia hatua kali wafanyabiashara wasiowasilisha ritani za Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), kwa kuwa Fedha hizo zinatakiwa kuwasilishwa serikalini kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwani wafanyabiashara ni Mawakala wa Serikali wa kukusanya kodi hiyo na hazitakiwa kufanywa kama ni sehemu ya mapato yao.
Aidha, Dkt. Nchemba amewataka watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, kuongeza ubunifu, umahiri na kuhakikisha wanatenda haki wakati wa kukusanya mapato ya Serikali ili kutimiza matarajio ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya kuwaletea watanzania maendeleo ya uhakika.
Pia Dkt. Nchemba ametumia fursa hiyo pia kuwapongeza TRA kwa utendaji kazi mahiri kwa mwaka wa fedha ulioisha wa 2023/24, ambapo walikusanya kiasi cha shilingi trilioni 27.64, ambayo ni sawa na ufanisi wa asilimia 97.67 ya lengo la kukusanya shilingi trilioni 28.30, ambayo ni sawa na ongezeko la asilimia 14.50, ikilinganishwa na makusanyo ya shilingi trilioni 24.14 katika mwaka wa Fedha uliopita 2022/23.
Katika Halfa hiyo Mhe. Dkt. Nchemba aliambatana na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), Kamishna Msaidizi wa Idara ya Sera Wizara ya Fedha, Bw. William Mhoja, na Maafisa wengine waandamizi wa Wizara ya Fedha.
Ipo ajili ya VEOs na walimuWanaiba sana tu,hasa mipakani wanahujumu
Takukuru ifutwe! Hakuna kazi wanayofanya nchini! Wanakula mishahara ya bure tu!
Naunga mkono hojaView attachment 3041028

Naona na Kamishna amekuja na moto Mpya 🔥🔥View attachment 3041028

Waanze na yeye mwenyewe!
Yeye mwenyewe ni mla rushwa mzuri haswa
Na VIongozi wengine wa serikali wala rushwa icluding ya yeye wakamatwe pia.
Asante kwa mchango/shuuda nzuri dada ake.Toka mfanyakazi mmoja wa TRA aniambie yeye hatakuja kufungua biashara hii nchi nilinyanyua mikono, I was so done na kuhamasisha uzalendo uchwara.
TRA wenyewe wanajua wanachowafanyia wafanyabiashara wa hii nchi? Wanazijua Vizuri sheria za kinyanyasaji walizoziweka, wanajua na viwango vya kodi kuwa havilipiki na vinashawishi ukwepaji.
Wewe unaowatetea TRA ni nani?
Ndio za ccm hizi.Huwezi kukemea rushwa huku na wewe ni mla rushwa
Sahihi kabisa kaka, Everyone know about this shit, and no one says shit about shit!Asante kwa mchango/shuuda nzuri dada ake.
Mimi jamaa yangu collin kapata ajira kwenye hiyo taasisi mwaka juzi tu ila kwa mambo aliyoyaona humo, akaniambia hili uweze kufanya biashara kwa mafanikio nchii hii hakikisha una ndugu wawili watatu ambao ni wafanyakazi wa TRA kwa ajiri ya kupindisha mambo huko kwenye system hili biashara yako iende, kama huna ni heri usifungue kabisa biashara.. na akatoa mfano wa baadhi ya jamii ambazo zinafanya vizuri Kibiashara kuwa ni lazima wawe na mwanafamilia hata mmoja huko.
Anasema sera na mifumo yetu ya kodi hasa ya makadirio ni ya kipuuzi mno na kila mtu anayefanya kazi kwenye hiyo taasisi anajua, ila imeachwa kwa makusudi tu...!! 🥲🥲
Kabisa tuishi humo humo ndio maana huwa sitaki Kabisa mtu aje anihubirie habari za uzalendo.Sahihi kabisa kaka, Everyone know about this shit, and no one says shit about shit!
Tunaishi humo!
Je mawaziri wala rushwa ina kuwajeView attachment 3041028
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amemwagiza Kamishna Mkuu Mpya wa TRA, Yusuph Juma Mwenda, kuwachukulia hatua kali za kisheria na kinidhamu ikiwemo kuwafukuza kazi baadhi ya watumishi wa Mamlaka hiyo wanaokiuka maadili ya kazi zao ikiwemo kudai na kupokea rushwa, kwa kuwa vitendo hivyo vinaitia doa Mamlaka na kuikosesha Serikali mapato.
Mhe. Dkt. Nchemba, amesema hayo wakati akihitimisha Kikao cha Tathmini ya Utendaji Kazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024, kilichofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha (AICC).
Aidha, Dkt Nchemba, amemwagiza Kamishna huyo kuwachukulia hatua kali wafanyabiashara wasiowasilisha ritani za Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), kwa kuwa Fedha hizo zinatakiwa kuwasilishwa serikalini kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwani wafanyabiashara ni Mawakala wa Serikali wa kukusanya kodi hiyo na hazitakiwa kufanywa kama ni sehemu ya mapato yao.
Aidha, Dkt. Nchemba amewataka watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, kuongeza ubunifu, umahiri na kuhakikisha wanatenda haki wakati wa kukusanya mapato ya Serikali ili kutimiza matarajio ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya kuwaletea watanzania maendeleo ya uhakika.
Pia Dkt. Nchemba ametumia fursa hiyo pia kuwapongeza TRA kwa utendaji kazi mahiri kwa mwaka wa fedha ulioisha wa 2023/24, ambapo walikusanya kiasi cha shilingi trilioni 27.64, ambayo ni sawa na ufanisi wa asilimia 97.67 ya lengo la kukusanya shilingi trilioni 28.30, ambayo ni sawa na ongezeko la asilimia 14.50, ikilinganishwa na makusanyo ya shilingi trilioni 24.14 katika mwaka wa Fedha uliopita 2022/23.
Katika Halfa hiyo Mhe. Dkt. Nchemba aliambatana na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), Kamishna Msaidizi wa Idara ya Sera Wizara ya Fedha, Bw. William Mhoja, na Maafisa wengine waandamizi wa Wizara ya Fedha.
CCM imejaa wala rushwa tupuNdio za ccm hizi.