Mwijaku afikishwa Kisutu na kushtakiwa kusambaza picha za utupu. Ashindwa kutimiza masharti ya dhamana

Segerea siku ya kwanza lazima alale mchongoma, wale jamaa hawanaga shobo na mtu. Hata ukienda na suti unaambiwa bosi hukohuko nje.
 
Hili jina la Brighton Mwemba ni lake kweli ?! Isije ukawa mabo ya kina Daudi Albert Bashite kununua cheti, maana kila siku tunamuona akisema yeye ni muislam na picha za kuswali anaposti.

Si ndio zile picha na Video za Menina au ?!

Halafu Clouds fm wamemtoa Musa Husein kwenye Leo Tena wamemweka huyu.
 
Huyu itakuwa kaponzwa na ile kauli yake
 
Unamuwekaje kwenye kipindi cha radio mtu ambae ana kashfa ya kusambaza picha za ngono tayar......apo walichemka
 
Huyu jamaa Kama wamemlaza ndichi aka cello jamaa maniga 'wamfaidi' tu maana ana Mambo ya kichoko sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…