Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah namsikia sana Aristote ni nan na anafanya ishu gani hapa mjini...i'm curiousMwijaku,aristote,lokole hawa wazaliwe upyaa
Hahah namsikia sana Aristote ni nan na anafanya ishu gani hapa mjini...i'm curious
Ana saloon anayoitumia kama kijiwe cha kutafutia kuunganisha wanawake na wanaume. Kimsingi huyo jamaa ni kuwadiHahah namsikia sana Aristote ni nan na anafanya ishu gani hapa mjini...i'm curious
Mcheki huyu mdau anaitwa cocochanel alisema anazo nyingi tu.
Duuu connection hii nilikua siijuiAna saloon anayoitumia kama kijiwe cha kutafutia kuunganisha wanawake na wanaume. Kimsingi huyo jamaa ni kuwadi
DinaMwijaku,Aristote,Lokole hawa wazaliwe upyaa
Huyu itakuwa kaponzwa na ile kauli yakeALIYEKUWA mtia nia wa Ubunge Jimbo la Kawe na Mtangazaji wa Clouds, Mwemba Brighton maarufu Mwijaku (35) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kusambaza picha za utupu.
Mwijaku alisomewa mashtaka hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate.
Mwijaku ambaye alikana mashitaka hayo, amekosa dhamana baada ya kushindwa kutimiza masharti ambayo ni kuwa na wadhamini wawili kutoka ama Bongo Movie au tasnia ya muziki wenye barua zilizothibitishwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) na kusaini kila mmoja Sh 500,000.
View attachment 1520477
Chanzo: Habari Leo
Mpe mwana picha,acha kupaniki.Nikomwe kabisaa.. naona madozi mumeyapokea kweli kweli.. na bado..
Ahsante ndio maana kutwa namsikia Shilole anamtaja tajaAna saloon anayoitumia kama kijiwe cha kutafutia kuunganisha wanawake na wanaume. Kimsingi huyo jamaa ni kuwadi
Hii ata mm sijaielewa.....na wameongeza iwe imesainiwa na Basata......au ndio walitaka kumlaza ndan tuWhy Bongo movie au watu wa mziki tuu????? Ndo wanatakiwa kumuwekea dhamana
Unamuwekaje kwenye kipindi cha radio mtu ambae ana kashfa ya kusambaza picha za ngono tayar......apo walichemkaHili jina la Brighton Mwemba ni lake kweli ?! Isije ukawa mabo ya kina Daudi Albert Bashite kununua cheti, maana kila siku tunamuona akisema yeye ni muislam na picha za kuswali anaposti.
Si ndio zile picha na Video za Menina au ?!
Halafu Clouds fm wamemtoa Musa Husein kwenye Leo Tena wamemweka huyu.
Hawa wote ni mazwazwa
Kaigiza kidogo tu anajiona yeye ndio maarufu kama Rambo, kila kitu anajua yeye, mara ajifanye mtaalamu wa mahusiano [emoji23] ajitambe yeye ndio ana ndoa bora kuliko zote, yaani huyu jamaa ni kama Musiba wa Bongo entertainment.Hawa ndiyo ma celebrity wetu Bongo
Hahah namsikia sana Aristote ni nan na anafanya ishu gani hapa mjini...i'm curious