Numbisa 🤣🤣🤣🤣 eti mashavu Kama mifuko ya timberland watu Wana matani ya kurusha ngumi aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Numbisa 🤣🤣🤣🤣 eti mashavu Kama mifuko ya timberland watu Wana matani ya kurusha ngumi aisee
Mwijaku,Aristote,Lokole hawa wazaliwe upyaa
Nikomwe kabisaa.. naona madozi mumeyapokea kweli kweli.. na bado..
Pole sana Mama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], Naona vijana wanakuchokonoa.
Jimbo hilo lilijaa wahaini
Mwijaku ambaye ni miongoni mwa watia nia waliojitokeza kuomba ubunge kwa tiketi ya CCM, amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu kwa kusambaza picha za utupu kwenye mtandao wa Whatsapp.
Inadaiwa alitenda kosa hilo kati ya Septemba 15 na Oktoba 10 mwaka 2019 .
------
Aliyekuwa mtia nia wa Ubunge Jimbo la Kawe na Mtangazaji wa Clouds, Mwemba Brighton maarufu Mwijaku (35) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kusambaza picha za utupu.
Mwijaku alisomewa mashtaka hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate.
Mwijaku ambaye alikana mashitaka hayo, amekosa dhamana baada ya kushindwa kutimiza masharti ambayo ni kuwa na wadhamini wawili kutoka ama Bongo Movie au tasnia ya muziki wenye barua zilizothibitishwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) na kusaini kila mmoja Sh 500,000.
🤣🤣Hilo para mpaka liote nywele
Huyo ni mpambe wa SACCOS ya Kaskazini,nia yake ni kuipaka matope CCM, hapo yupo kwenye kampeni.Kwenye heading unasema mgombea ubunge, huku kwenye content unasema mtia nia. Lengo lako nini labda, mbona hueleweki.
Nikiitaka ntaipata wapi?Ngoja nirudi kwenye gallery yangu nikainyanyue tena ile video yake na Yule kahab Menina, nilinganishe na ile kondoo nyeupe ya GawajiBoy Uno nione ni mwanasisiem yupi kati yao alongonoka na kondoo tamu tamu
Kama unayo notumieMcheki huyu mdau anaitwa cocochanel alisema anazo nyingi tu.
Hukufanikiwa kuipata connection ya huyo mwanasisiem Mwijaku na malay Menina?Nikiitaka ntaipata wapi?
Siyo mahala pake hapa..katafute kwenye platform za wacheza ngono utazikuta.Tuwekee hiyo video