Mwijaku afikishwa Kisutu na kushtakiwa kusambaza picha za utupu. Ashindwa kutimiza masharti ya dhamana

Mwijaku afikishwa Kisutu na kushtakiwa kusambaza picha za utupu. Ashindwa kutimiza masharti ya dhamana

Huo mzigo wake mbona ulipita kimyakimya? Ulimhusisha yeye mwenyewe ama alisambaza za wenzake?Mtia nia kaharibu. Kibo!
 
Pole sana Mama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], Naona vijana wanakuchokonoa.

Sana.. wanajaribu kulipiza matukio ya jana na juzi.. wamepigwa mishushuo mingi.. 😃
 

Mwijaku ambaye ni miongoni mwa watia nia waliojitokeza kuomba ubunge kwa tiketi ya CCM, amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu kwa kusambaza picha za utupu kwenye mtandao wa Whatsapp.

Inadaiwa alitenda kosa hilo kati ya Septemba 15 na Oktoba 10 mwaka 2019 .

------
Aliyekuwa mtia nia wa Ubunge Jimbo la Kawe na Mtangazaji wa Clouds, Mwemba Brighton maarufu Mwijaku (35) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kusambaza picha za utupu.

Mwijaku alisomewa mashtaka hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate.

Mwijaku ambaye alikana mashitaka hayo, amekosa dhamana baada ya kushindwa kutimiza masharti ambayo ni kuwa na wadhamini wawili kutoka ama Bongo Movie au tasnia ya muziki wenye barua zilizothibitishwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) na kusaini kila mmoja Sh 500,000.
Jimbo hilo lilijaa wahaini
 
Kwenye heading unasema mgombea ubunge, huku kwenye content unasema mtia nia. Lengo lako nini labda, mbona hueleweki.
Huyo ni mpambe wa SACCOS ya Kaskazini,nia yake ni kuipaka matope CCM, hapo yupo kwenye kampeni.
 
Nikiitaka ntaipata wapi?
Hukufanikiwa kuipata connection ya huyo mwanasisiem Mwijaku na malay Menina?

Umechelewa mjini mamaa, na kwa kanuni za kudumu za wajumbe video hizo za Mwijaku na ile ya Gwajima zimebakiza siku2 masaa4 dakika7 na sekunde 37 kufutwa kabisa kwenye gallery, zimemaliza muda wake
 
Back
Top Bottom