Mwijaku ajenga nyumba ya kitajiri Kigamboni - funzo kwa vijana, dunia haina huruma kwa mwenye aibu,wenye kuwaza ndugu watanionaje

Kwahiyo na wewe uko tayari kupanuliwa na Waarabu upate ghorofa?

Kizazi hiki ni hasara tupu, mbele ya watu weñye akili timamu unamleta Mwijaku ndio awe role model? Kweli?

Iombe radhi JF na members wake hii ni dharau kupita kiasi.
Ni sahihi ila ndio vijana wa sasa. Hakuna pesa wala mafanikio yoyote tenye thamani zaidi ya UTU wa mtu. Binafsi, ni bora nife maskini kuliko kuutweza utu wangu kisa Ghorofa, nyumba na magari. Never, acha niendelee kuwa maskini na masters yangu.
 
Kwa maisha yetu watanzania ukishakua na uhakika wa kipato kitu cha kwanza cha muhimu ni kutafuta makazi kwanza, jenga uwe na kwako uepuke fedheha jamaa kafanya kitu cha muhimu sana hayo ni maendeleo makubwa maana kujenga siyo mchezo ni mafanikio makubwa.
 
Kwahiyo na wewe uko tayari kupanuliwa na Waarabu upate ghorofa?

Kizazi hiki ni hasara tupu, mbele ya watu weñye akili timamu unamleta Mwijaku ndio awe role model? Kweli?

Iombe radhi JF na members wake hii ni dharau kupita kiasi.
Una ushahidi kama Mwijaku anafanya hayo ndugu,naona kama umetumia maneno makali sana kwake daah
 
Huyo hajawahi kumiliki akili,kila mtu anamtuhumu ushoga,jitu kubwa ila nilipumbavu.
Wewe Gaidi tulia, drones za Isra ziko angani zisije kusepa na roho yako.

Kuna Celebrity kibao wamejenga nyumba za ghorofa na wala hatuna shida nao

Joti ana ghorofa Kigamboni, Masanja ana ghorofa Tabata hawa ñi mfano Kwa uchache tu, kama unamtetea Mwijaku basi mpo kampuni moja.

Mkumbushe tu ahadi ni deni, Ile ahadi yake ya kutembea uchi Posta mpaka mwenge bado tunasubili.
 
Huyo yeye mwenyewe ni pisi Kali mbona?

Dalali ni Stive Nyerere ukiwataka kina Irene wale Wolper category unampa advance anakuletea zigo mpaka hotelini unammalizia mpunga wake anakuachia goma ubargain mwenyewe utalilipa ngapi likuvulie chupi
Noma sana 🤣
 
Weka documents zake tuone
Kazi zake ni za wazi hazijifichi.

1. Anafanya kazi media Anatangaza clouds

2. Anafanya kazi media nyingine Star times anatangaza kipindi cha Mr right

3. Anafanya ya kuigiza. Anaigiza kwenye tamthilia ya DSTV kama main character

4. Anafanya kazi ya ubalozi wa kampuni ya Silent ocean

5. Anafanya kazi na serikali kama influencer wa awamu ya 6 ya Mama Samia.

6. Anapiga dili za wafanyabiashara wengine kibao. Anatangaza bidhaa za biashara za watu wengine wengi mfano Hamidu City, kampuni za wallputty,rangi na wengineo kibao

Mtu kama huyu anashindwaje kujenga nyumba ya milioni 400
 
Pia ni chawa wa harmonize
 
Haya
Kwahiyo Mwijaku anafanya kazi ya kuzoa mavi na kuzibua mitaro kazi ambayo wahitimu wenzake wanaikimbia?
Biblia inasema asiyetaka kufanya kazi na asile na si asiyefanya kazi na asile.
Unaweza unataka kufanya kazi lakini kazi haipo.
Na si kila kazi inatajirisha.
Babu zetu hawakuona aibu kulima mpaka uzeeni na wamekufa na ufukara wao.
Bongo pesa iko kwenye channel.
Ukiipata tu hiyo channel wewe ushakuwa tajiri.
 
Hiyo #5 ndio iliyonpa hilo jumba
 
Kwahiyo na wewe uko tayari kupanuliwa na Waarabu upate ghorofa?

Kizazi hiki ni hasara tupu, mbele ya watu weñye akili timamu unamleta Mwijaku ndio awe role model? Kweli?

Iombe radhi JF na members wake hii ni dharau kupita kiasi.
Katika watu wa hovyo wewe ni mmoja wapo.

Ukichanganya umaskini na wivu hata madaktari hawatajua nini kilikuua!

Wapi uliona kapanuliwa na waarabu?
Kama nyumba ni ya kwake kweli kwanini asiwe role model wake?


Wivu na umaskini tu.
 
Matusi ni kipimo cha kukosa ustaarabu.

Hoja nzima haina tusi hata moja. Lakini mchangia hoja umeleta matusi.

Tujitahidi Umaskini wetu na ukosefu wa fursa za ajira usitufanye tukose ustaarabu wa kutukana tukana hovyo.
HOvyo sana hana hekima hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…