Mwijaku ajenga nyumba ya kitajiri Kigamboni - funzo kwa vijana, dunia haina huruma kwa mwenye aibu,wenye kuwaza ndugu watanionaje

Habari wadau,

Mwijaku chawa na influencer maarufu amejenga nyumba ya ghorofa kigamboni

Mwijaku anafanya kazi amazo wengi tunaona ni za aibu ila ana maisha mazuri ambayo wasomi wengi wa zama zake hawana hata nusu yake.

Mwijaku ni graduate wa university of Dar es salaam (Udsm) class of 2013 - yaani kamaliza chuo miaka kumi iliyopita

Ujumbe wangu wewe Graduates unaeona aibu kufaanya kazi yoyote itakula kwako wewe na kizazi chako

View attachment 2862148

Jiulize ni wangapi aliomaliza nao chuo ambao wanamzidi Mwijaku maisha ?

MWIJAKU SIO MVIVU ANAFANYA KAZI NYINGI SANA NDANI YA MUDA MMOJA. KOTE ANAPOKEA HELA

1. Anafanya kazi media Anatangaza clouds

2. Anafanya kazi media nyingine Star times anatangaza kipindi cha Mr right

3. Anafanya ya kuigiza. Anaigiza kwenye tamthilia ya DSTV kama main character

4. Anafanya kazi ya ubalozi wa kampuni ya Silent ocean

5. Anafanya kazi na serikali kama influencer wa awamu ya 6 ya Mama Samia.

6. Anapiga dili za wafanyabiashara wengine kibao. Anatangaza bidhaa za biashara za watu wengine wengi mfano Hamidu City, kampuni ya rangi na wengineo kibao

Mtu kama huyu anashindwaje kujenga nyumba ya milioni 400
Acheni kutuchokoza Watu tunaojua Maisha halisi na Mirija ya upataji Pesa na Utajiri huo wa hawa Watu wenu sawa?

Nina list ya Watu kama Tisa ( 9 ) hivi ya Watu ambao Wamesoma na Wanajituma sehemu nyingi nyingi tena kuliko hata huyu ila bado Maisha yao ni magumu na mabaya kama aliyonayo GENTAMYCINE.

Hivi kuna Faida gani ya kuwa na Fedha hapa Mjini, Maarufu na mwenye Mali kadhaa huku Shughuli zako Kuu zikiwa ni kama zifuatazo.....

1. Kuingiliwa Kinyume na Maumbile

2. Kubebeshwa Dawa za Kulevya na Mabosi Wawili Wakubwa wa Media hapa Tanzania, Mstaafu Mmoja na Viongozi Wawili wa Serikalini kwa sasa

3. Kuwa Kuwadi ( Pimp ) wa Matajiri, Viongozi na Wanasiasa Waandamizi nchini Tanzania kwa Wanawake wa Vyuo Vikuu, Walimbwende na Wasanii kwa Ujira na endapo Ukikosa wa Kuwapelekea Wewe unakuwa Radhi Kugeuzwa nao ili Hela yote uichukue Wewe huku Makaluoni mwako ukiwa umejaza Pampers tu?

Bora GENTAMYCINE nishindie Ugali, Dagaa na Maharage yangu huku nikifanya Kazi halali za Kawaida tu au nikiendelea Kupambana huku nikiendelea Kumuomba Mwenyezi Mungu azidi kunifungulia Milango ya Baraka kwa Kadri ambavyo ataona inafaa na kwa wakati wake kuliko kutaka Kulazimisha Maisha ili Uwafurahishe Waswahili Wanafiki na Wapumbavu kwa Maisha ya Kitajiri ambayo yanautweza Utu wako na yatakayokufanya baadae uje kuwa Historia mbaya na Kumbukumbu Ovu ya Kimaisha ambayo itakuja Kutesa Kizazi chako mbele ya Jamii.

Mlitaka tufunguke sasa tumeshafunguka.
 
Tuoe wanawake wasomi!
Mke wa jaku ni Accountant wa bank fulani.CPA holder Alice(Aliciousm) kasoma jangwani na UD ni kichwa haswaa..Mafanikio ya mwijaku yapo kwa huyu mwanamama..Tuoe wanawake wasomi achana na Imani potofu za Kuoa form four failure
 
Sawa mkuu, na wewe tuoneshe mafanikio yako maana haya mambo ya kusifia mwanaume mwenzio na vijembe juu siyo poa😀
 
Tuoe wanawake wasomi!
Mke wa jaku ni Accountant wa bank fulani.CPA holder Alice(Aliciousm) kasoma jangwani na UD ni kichwa haswaa..Mafanikio ya mwijaku yapo kwa huyu mwanamama..Tuoe wanawake wasomi achana na Imani potofu za Kuoa form four failure
Wewe ndio umepotea kabisa, pole yako.
 
Habari wadau,

Mwijaku chawa na influencer maarufu amejenga nyumba ya ghorofa kigamboni

Mwijaku anafanya kazi amazo wengi tunaona ni za aibu ila ana maisha mazuri ambayo wasomi wengi wa zama zake hawana hata nusu yake.

Mwijaku ni graduate wa university of Dar es salaam (Udsm) class of 2013 - yaani kamaliza chuo miaka kumi iliyopita

Ujumbe wangu wewe Graduates unaeona aibu kufaanya kazi yoyote itakula kwako wewe na kizazi chako

View attachment 2862148

Jiulize ni wangapi aliomaliza nao chuo ambao wanamzidi Mwijaku maisha ?

MWIJAKU SIO MVIVU ANAFANYA KAZI NYINGI SANA NDANI YA MUDA MMOJA. KOTE ANAPOKEA HELA

1. Anafanya kazi media Anatangaza clouds

2. Anafanya kazi media nyingine Star times anatangaza kipindi cha Mr right

3. Anafanya ya kuigiza. Anaigiza kwenye tamthilia ya DSTV kama main character

4. Anafanya kazi ya ubalozi wa kampuni ya Silent ocean

5. Anafanya kazi na serikali kama influencer wa awamu ya 6 ya Mama Samia.

6. Anapiga dili za wafanyabiashara wengine kibao. Anatangaza bidhaa za biashara za watu wengine wengi mfano Hamidu City, kampuni ya rangi na wengineo kibao

Mtu kama huyu anashindwaje kujenga nyumba ya milioni 400

Kwa namna ile ya kufanya kazi, ningekuwa sina hela ningetafuta kwa namna ingine, sio ilw
 
Acheni kutuchokoza Watu tunaojua Maisha halisi na Mirija ya upataji Pesa na Utajiri huo wa hawa Watu wenu sawa?

Nina list ya Watu kama Tisa ( 9 ) hivi ya Watu ambao Wamesoma na Wanajituma sehemu nyingi nyingi tena kuliko hata huyu ila bado Maisha yao ni magumu na mabaya kama aliyonayo GENTAMYCINE.

Hivi kuna Faida gani ya kuwa na Fedha hapa Mjini, Maarufu na mwenye Mali kadhaa huku Shughuli zako Kuu zikiwa ni kama zifuatazo.....

1. Kuingiliwa Kinyume na Maumbile

2. Kubebeshwa Dawa za Kulevya na Mabosi Wawili Wakubwa wa Media hapa Tanzania, Mstaafu Mmoja na Viongozi Wawili wa Serikalini kwa sasa

3. Kuwa Kuwadi ( Pimp ) wa Matajiri, Viongozi na Wanasiasa Waandamizi nchini Tanzania kwa Wanawake wa Vyuo Vikuu, Walimbwende na Wasanii kwa Ujira na endapo Ukikosa wa Kuwapelekea Wewe unakuwa Radhi Kugeuzwa nao ili Hela yote uichukue Wewe huku Makaluoni mwako ukiwa umejaza Pampers tu?

Bora GENTAMYCINE nishindie Ugali, Dagaa na Maharage yangu huku nikifanya Kazi halali za Kawaida tu au nikiendelea Kupambana huku nikiendelea Kumuomba Mwenyezi Mungu azidi kunifungulia Milango ya Baraka kwa Kadri ambavyo ataona inafaa na kwa wakati wake kuliko kutaka Kulazimisha Maisha ili Uwafurahishe Waswahili Wanafiki na Wapumbavu kwa Maisha ya Kitajiri ambayo yanautweza Utu wako na yatakayokufanya baadae uje kuwa Historia mbaya na Kumbukumbu Ovu ya Kimaisha ambayo itakuja Kutesa Kizazi chako mbele ya Jamii.

Mlitaka tufunguke sasa tumeshafunguka.
Hakuna namna utatoboa usiambiwe unaliwa..Ngumu sanaa....Yani saivi ikitokea umetoboa Silaha ya kwanza utaambiwa Unaliwa au Madawa kmk..Juksi walisema analiwa,B12 analiwa..Omary Nyembo analiwa...Hii yote ni Husda,Wivu,Kisokorokwinyo tu..Kwasababu wote tunataka tuwe level moja..Acha wivu
 
Back
Top Bottom