Mwijaku ajenga nyumba ya kitajiri Kigamboni - funzo kwa vijana, dunia haina huruma kwa mwenye aibu,wenye kuwaza ndugu watanionaje

Binafsi nampongeza Kwa hiyo hatua, kama kweli ni nyumba yake, nampongeza kwa kuwa na hiyo akili Kisha akaitekeleza.

Suala la anapataje pesa au anamaisha gani, nawaachia wajuvi wanaomfaham.
 
kama kufirwaaz kunalipa mbona mashoga wengi sana maskini?

kama kujiuza kunalipa mbona wadangaji wengi maskini ?

HONGERA KWAKE MWIJAKU, KAZI YAKE INAONEKANA

Bongo upuuzi unalipa sana ukijua kuutumia. ukiweza kuburudisha watu vizuri kwa upuuzi wako unatoboa

madogo tu ambao wanajitafuta wanatengeneza viigizo vya youtube kina Clam Vevo, Steve mweusi wanaishi nyumba nzuri na wanaendesha magari . sembuse mwijaku mwenye digrii ya maigizo ya udsm na dili nyingi

JOTI ana maisha sababu ya upuuzi. watu walimsema sana walivyokuwa anajipa uanamke dada kiboga, leo Joti ana Ghorofa na maisha mazuri.

Masanja ana maisha sababu ya upuuzi.
 
Ni sahihi ila ndio vijana wa sasa. Hakuna pesa wala mafanikio yoyote tenye thamani zaidi ya UTU wa mtu. Binafsi, ni bora nife maskini kuliko kuutweza utu wangu kisa Ghorofa, nyumba na magari. Never, acha niendelee kuwa maskini na masters yangu.
Una uhakika gani kwamba anauza utu wake

Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
 
kama kufirwaaz kunalipa mbona mashoga wengi sana maskini?

kama kujiuza kunalipa mbona wadangaji wengi maskini ?

HONGERA KWAKE MWIJAKU, KAZI YAKE INAONEKANA

Bongo upuuzi unalipa sana ukijua kuutumia. ukiweza kuburudisha watu vizuri kwa upuuzi wako unatoboa

madogo tu ambao wanajitafuta wanatengeneza viigizo vya youtube kina Clam Vevo, Steve mweusi wanaishi nyumba nzuri na wanaendesha magari . sembuse mwijaku mwenye digrii ya maigizo ya udsm na dili nyingi

JOTI ana maisha sababu ya upuuzi. watu walimsema sana walivyokuwa anajipa uanamke dada kiboga, leo Joti ana Ghorofa na maisha mazuri.

Masanja ana maisha sababu ya upuuzi.
Fanya na wewe upuuzi ukulipe, tukuone baada ya miaka 10

Km ni rahisi KIHIVYO Chidb angekua Billionaire by now,
 
mimi nina ajira nyingine ya utumishiwa uma ambayo inanilipa. pia umri umeenda, sipo umri wa kuanza kujifunza sanaa

upuuzi wa kisanaa unahitaji kujiamini na umri kuruhusu. huwezi kuanza upuuzi kwenye utu uzima. hao wote niliowataja wameanza wakiwa vijana
 
Upuuzi hauna umri hautaki hela wewe? Mzee Majuto alikua na umri gani? Nionyeshe Ghorofa
 
Upuuzi hauna umri hautaki hela wewe? Mzee Majuto alikua na umri gani? Nionyeshe Ghorofn

nimekuambia nina kazi tayari inayonilipa. sipo kwenye umri wa kujifunza fani mpya. wakati nina fani tayari inayonipa mahitaji yangu.

kuhusu mzee majuto pia. hakuwa maskini, nyumba alikuwa nazo na madala dala amemiliki sababu ya maigizo yake
 
Bro umesema upuuzi unalipa hautaki mabillion wewe? Acha kujizima data unaweza na wewe ukafanya upuuzi ukakulipa? Sio unaweka utetezi wa kuajiriwa hautaki Pesa za kujenga Ghorofa ufukweni wewe? Usituchote akili kutuambia upuuzi unalipa fanya wewe tukuone baada ya miaka 10 km kweli una uhakika na unachokisema sio unasemasema tu bila kua na vivid evidence
 
Kumbavu , ujinga anaofanya mwijaku hakyanani siwezi ufanya hata kwa bilioni.

Inabidi ukubali kua kuna vitu hata iweje huviwezi, binafsi siwezi jitweza namna ile aisee.
Hongera kwake ila kwangu sio ishu ya ndgu au jamii ila binafsi tu siwezi.
 
Uza utu wako upewe mabillion ukajenge mjengo ufukweni
 
Back
Top Bottom