Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo nilquote jokes mkuuKwahiyo mpaka ushuhudie Juma Lokole akipakuliwa ndio utaamini kuwa analiwa kama mboga au Vipi?
HahahaNi kweli sikuwahi kushuhudia ndugu yangu wakuperuzi ukipanuliwa.
Una pointi nyingine?
Alianza Aristote.....Machawa wameamua.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baba Levo naye Alisema soon atazindua yake itazidi ya Mwijaku [emoji3][emoji3]
Una uhakika gani kwamba anauza utu wakeNi sahihi ila ndio vijana wa sasa. Hakuna pesa wala mafanikio yoyote tenye thamani zaidi ya UTU wa mtu. Binafsi, ni bora nife maskini kuliko kuutweza utu wangu kisa Ghorofa, nyumba na magari. Never, acha niendelee kuwa maskini na masters yangu.
Hujajibu swali upo tayari?Matusi ni kipimo cha kukosa ustaarabu.
Hoja nzima haina tusi hata moja. Lakini mchangia hoja umeleta matusi.
Tujitahidi Umaskini wetu na ukosefu wa fursa za ajira usitufanye tukose ustaarabu wa kutukana tukana hovyo.
Fanya na wewe upuuzi ukulipe, tukuone baada ya miaka 10kama kufirwaaz kunalipa mbona mashoga wengi sana maskini?
kama kujiuza kunalipa mbona wadangaji wengi maskini ?
HONGERA KWAKE MWIJAKU, KAZI YAKE INAONEKANA
Bongo upuuzi unalipa sana ukijua kuutumia. ukiweza kuburudisha watu vizuri kwa upuuzi wako unatoboa
madogo tu ambao wanajitafuta wanatengeneza viigizo vya youtube kina Clam Vevo, Steve mweusi wanaishi nyumba nzuri na wanaendesha magari . sembuse mwijaku mwenye digrii ya maigizo ya udsm na dili nyingi
JOTI ana maisha sababu ya upuuzi. watu walimsema sana walivyokuwa anajipa uanamke dada kiboga, leo Joti ana Ghorofa na maisha mazuri.
Masanja ana maisha sababu ya upuuzi.
Umemaliza na Uzi umefungwaKila mtu aishi maisha yake, acheni kutamani maisha ya watu hamjui waliyopitia na wanayofanya nyuma ya pazia.
Fanya na wewe upuuzi ukulipe, tukuone baada ya miaka 10
Km ni rahisi KIHIVYO Chidb angekua Billionaire by now,
Upuuzi hauna umri hautaki hela wewe? Mzee Majuto alikua na umri gani? Nionyeshe Ghorofamimi nina ajira nyingine ya utumishiwa uma ambayo inanilipa. pia umri umeenda, sipo umri wa kuanza kujifunza sanaa
upuuzi wa kisanaa unahitaji kujiamini na umri kuruhusu. huwezi kuanza upuuzi kwenye utu uzima. hao wote niliowataja wameanza wakiwa vijana
Upuuzi hauna umri hautaki hela wewe? Mzee Majuto alikua na umri gani? Nionyeshe Ghorofn
Bro umesema upuuzi unalipa hautaki mabillion wewe? Acha kujizima data unaweza na wewe ukafanya upuuzi ukakulipa? Sio unaweka utetezi wa kuajiriwa hautaki Pesa za kujenga Ghorofa ufukweni wewe? Usituchote akili kutuambia upuuzi unalipa fanya wewe tukuone baada ya miaka 10 km kweli una uhakika na unachokisema sio unasemasema tu bila kua na vivid evidencenimekuambia nina kazi tayari inayonilipa. sipo kwenye umri wa kujifunza fani mpya. wakati nina fani tayari inayonipa mahitaji yangu.
kuhusu mzee majuto pia. hakuwa maskini, nyumba alikuwa nazo na madala dala amemiliki sababu ya maigizo yake
Uza utu wako upewe mabillion ukajenge mjengo ufukweniKumbavu , ujinga anaofanya mwijaku hakyanani siwezi ufanya hata kwa bilioni.
Inabidi ukubali kua kuna vitu hata iweje huviwezi, binafsi siwezi jitweza namna ile aisee.
Hongera kwake ila kwangu sio ishu ya ndgu au jamii ila binafsi tu siwezi.