Mwijaku alirudia shule au alisilimu?

Mwijaku alirudia shule au alisilimu?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Jina lake anaitwa Burton Mwemba or something but anajiita shekhe na of course anajua jua baadhi ya dua.

Swali; jina halisi la mtu huyu ni nani?

Tangu lini muislamu kutoka ujiji Kigoma akaitwa " Burton!!"

Alikuwa mkristo akasilimu au alirudia shule na kununua jina la mtu?
 
Jina lake anaitwa Brighton Mwemba or something but anajiita shekhe na of course anajua jua baadhi ya dua.

Swali; jina halisi la mtu huyu ni nani?

Tangu lini muislamu kutoka ujiji Kigoma akaitwa " Brighton!!"

Alikuwa mkristo akasilimu au alirudia shule na kununua jina la mtu?

Nasikia anaitwa Burton ,hata hivyo Burton si jina la kiislam.
 
Kati ya watu nisiowaelewa hata viwango vyake vya elimu lofikia.
 
Jina lake anaitwa Burton Mwemba or something but anajiita shekhe na of course anajua jua baadhi ya dua.

Swali; jina halisi la mtu huyu ni nani?

Tangu lini muislamu kutoka ujiji Kigoma akaitwa " Burton!!"

Alikuwa mkristo akasilimu au alirudia shule na kununua jina la mtu?

Kuna Possibility ya kuiba Jina maana kwao naona kama waislamu hivi.
 
Back
Top Bottom