Mwijaku alirudia shule au alisilimu?

Mwijaku alirudia shule au alisilimu?

Mi nimesoma name UDSM ni mweupe mno kichwani,labda aliwekeza huko kwenye uchawa maana hata coursework tulimsaidia alikuwa haji discussion,ila nilichojifunza kwake ni kuwa ujasiri ni mhimu sana ktk maisha,cong.kwake Kwa kufanikiwa kupitia uchawa
unasemaje kichwani mweupe wakat kaonesha vyeti ana first class apo yudizim
 
Wazazi wake Morogoro.
Muislum,
Hilo jina- la Burton ni la baba yake so it's a Middle name hata mdogo wake jina lake la Kati ni Burton
Baba yake ndiyo anaitwa Burton si alikuwa anafundisha pale JB soma dini.
 
Baba yake ndiyo anaitwa Burton si alikuwa anafundisha pale JB soma dini.
Sijajua alipokuwa anafundisha ila baba yake ndio Ustadh Burton.
Na Mwijaku Degree yake ya kwanza kasoma Mzumbe
 
Acheni ushamba, pamoja na yote, kila mtu ana haki kisheria pia kubadili jina, unaweza ukazaliwa ukaandikishwa shule unaitwa Mapumbu Makanyagio Likumalija, na baadae ukaamua kubadili jina nakuitwa Abdulah Ally Msomali, na ikawa hivyo na ukatambulika hivyo tokea hapo. Sheria inasema mtoto anapozaliwa ana haki yakupewa jina na anapotimiza umri wa ukubwa ana haki pia kuiiita jina atakalo ikimpendeza kubadili. Hakuna sheria inayosema mtoto lazima aitwe jina la mzazi wake au baba, hiyo ni mazoea tu, sheria inasema mtoto ana haki yakupewa jina
 
Back
Top Bottom