dump
JF-Expert Member
- Mar 23, 2020
- 642
- 958
Kwanza sio wa ujiji ni wa huko kijijini kazuramimba.Jina lake anaitwa Burton Mwemba or something but anajiita shekhe na of course anajua jua baadhi ya dua.
Swali; jina halisi la mtu huyu ni nani?
Tangu lini muislamu kutoka ujiji Kigoma akaitwa " Burton!!"
Alikuwa mkristo akasilimu au alirudia shule na kununua jina la mtu?