Jina lake anaitwa Brighton Mwemba or something but anajiita shekhe na of course anajua jua baadhi ya dua.
Swali; jina halisi la mtu huyu ni nani?
Tangu lini muislamu kutoka ujiji Kigoma akaitwa " Brighton!!"
Alikuwa mkristo akasilimu au alirudia shule na kununua jina la mtu?
Hata Hivyo Burton si Jina la Kiislam.Yes Burton thankyu for correction ngoja nibadilishe
Jina lake anaitwa Burton Mwemba or something but anajiita shekhe na of course anajua jua baadhi ya dua.
Swali; jina halisi la mtu huyu ni nani?
Tangu lini muislamu kutoka ujiji Kigoma akaitwa " Burton!!"
Alikuwa mkristo akasilimu au alirudia shule na kununua jina la mtu?