Acheni ushamba, pamoja na yote, kila mtu ana haki kisheria pia kubadili jina, unaweza ukazaliwa ukaandikishwa shule unaitwa Mapumbu Makanyagio Likumalija, na baadae ukaamua kubadili jina nakuitwa Abdulah Ally Msomali, na ikawa hivyo na ukatambulika hivyo tokea hapo. Sheria inasema mtoto anapozaliwa ana haki yakupewa jina na anapotimiza umri wa ukubwa ana haki pia kuiiita jina atakalo ikimpendeza kubadili. Hakuna sheria inayosema mtoto lazima aitwe jina la mzazi wake au baba, hiyo ni mazoea tu, sheria inasema mtoto ana haki yakupewa jina