Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Niseme tu ukweli huyu jamaa huwaga namshangaaga sana, licha ya kukaa sana madrasa na kufanikiwa kumaliza juzuu 30 ila maisha anayoishi hayaendani kabisa na elimu aliyonayo.
Hatukatai anajitafutia rizki ila kwa kweli ni too much haswa kwa mtu kama yeye. Kwa alipofikia sidhani kama atakuwa amehifadhi juzuu hata 1 kichwani kwake .
Aangalie mfano wa Lavalava licha ya kuimba muziki lakini muda mwingine anajirudi na kufanya mambo ya Allah.
Hata familia aliyonayo wanaishi maisha ambayo si ya kiislamu kabisa kana kwamba hakuwahi kuwa muislamu kabisa.
Mwijaku abadilike hata ndugu zake wa karibu huwa wanamsema yani tangu apate kijina kidogo amekengeuka na kuwa wa hovyo sana.