Mwijaku ana juzuu 30 ila maisha anayoishi hayaendani kabisa na elimu ya dini aliyonayo

Mwijaku ana juzuu 30 ila maisha anayoishi hayaendani kabisa na elimu ya dini aliyonayo

Mwijaku nakumbuka nilikutana nae Mzumbe university miaka ya 2009 anasoma degree ya human resource. Alikuwa mpuuzi hivyo hivyo alivyo leo. Tofauti yake alikuwa hajulikani tu nchi nzima

Mwijaku upuuzi hajaanza leo wala jana
Sio UDSM???
 
Huyu jamaa tumesoma naye UDSM nadhani... Ila sijaona baya lake. Dont judge... usikimbilie sana kuutafuta ubaya wa mtu...

Ingependeza kama ungetuambia na mazuri yake ili tujifunze kutoka kwake.

Unavotushitakia ubaya wake, unataka tujifunze nini?
 
Back
Top Bottom