Mwijaku ana juzuu 30 ila maisha anayoishi hayaendani kabisa na elimu ya dini aliyonayo

Mwijaku ana juzuu 30 ila maisha anayoishi hayaendani kabisa na elimu ya dini aliyonayo

Kazi yake ipo wazi, havunji sheria za nchi kosa lake ni lipi, acheni kumwonea wivu.
 
Maisha aliyochagua kuishi yanaendana na elimu yake ya dini?

Hapo bado hatujazungumzia video yake chafu na Menina.

Bado hatujazungumzia anavyowashika shika hovyo wanawake bila kuona aibu kwamba ana mke
Maisha yake yanakuhusu nini, angalia yako.
 
Tuzungumzie DP world, kampuni ya Marekan ya Indiana kuidai Tanzania mabilioni ya mapesa
 
Alijaribu kuishi maisha ya juzuu unayotaka. Akawa hohe have, ndugu wanamsema hajishughulishi na akawa omba omba. Kachagua maisha yanayompa ugali aachwe.
 
Mwijaku nakumbuka nilikutana nae Mzumbe university miaka ya 2009 anasoma degree ya human resource. Alikuwa mpuuzi hivyo hivyo alivyo leo. Tofauti yake alikuwa hajulikani tu nchi nzima

Mwijaku upuuzi hajaanza leo wala jana
 
Niseme tu ukweli huyu jamaa huwaga namshangaaga sana ,licha ya kukaa sana madrasa na kufanikiwa kumaliza juzuu 30 ila maisha anayoishi hayaendani kabisa na elimu aliyonayo.

Hatukatai anajitafutia rizki ila kwa kweli ni too much haswa kwa mtu kama yeye.

Kwa alipofikia sidhani kama atakuwa amehifadhi juzuu hata 1 kichwani kwake .

Aangalie mfano wa Lavalava licha ya kuimba muziki lakini muda mwingine anajirudi na kufanya mambo ya Allah.

Hata familia aliyonayo wanaishi maisha ambayo si ya kiislamu kabisa kana kwamba hakuwahi kuwa muislamu kabisa.

Mwijaku abadilike hata ndugu zake wa karibu huwa wanamsema yani tangu apate kijina kidogo amekengeuka na kuwa wa hovyo sana.
Chai
 
Niseme tu ukweli huyu jamaa huwaga namshangaaga sana, licha ya kukaa sana madrasa na kufanikiwa kumaliza juzuu 30 ila maisha anayoishi hayaendani kabisa na elimu aliyonayo.

Hatukatai anajitafutia rizki ila kwa kweli ni too much haswa kwa mtu kama yeye. Kwa alipofikia sidhani kama atakuwa amehifadhi juzuu hata 1 kichwani kwake .

Aangalie mfano wa Lavalava licha ya kuimba muziki lakini muda mwingine anajirudi na kufanya mambo ya Allah.

Hata familia aliyonayo wanaishi maisha ambayo si ya kiislamu kabisa kana kwamba hakuwahi kuwa muislamu kabisa.

Mwijaku abadilike hata ndugu zake wa karibu huwa wanamsema yani tangu apate kijina kidogo amekengeuka na kuwa wa hovyo sana.

Yule mzee chiro alisoma hadi jami'ah kwa maana alkuwa na shahada kwenye masuala ya dini lakini akaishia kuigiza mchungaji sijui yuko wapi siku hizi
 
Back
Top Bottom