Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Kwa malezi aliyolelewa na maisha anayoishi ni vitu viwili tofauti.Hizo juzuu zitamletea ugali mezani?
Orodhesha hayo mambo ya hovyo angalau 3.Niseme tu ukweli huyu jamaa huwaga namshangaaga sana ,licha ya kukaa sana madrasa na kufanikiwa kumaliza juzuu 30 ila maisha anayoishi hayaendani kabisa na elimu aliyonayo...
Lakini bado hujajibu swali la mkuu hapo juuKwa malezi aliyolelewa na maisha anayoishi ni vitu viwili tofauti.
Amekengeuka mno,ndugu zake wanamlalamikia sana.
Maisha aliyochagua kuishi yanaendana na elimu yake ya dini?Orodhesha hayo mambo ya hovyo angalau 3.
Mbona kama husda.
Acha upuuzi,Bakheresa na dangote wana majuzuu mangapi vichwani?baadala ya kujaza PHD,Bachelor na Masters,unajaza maandishi ya kiarab!mwishowe ni kuwa mchawi tu,na mwangaNiseme tu ukweli huyu jamaa huwaga namshangaaga sana ,licha ya kukaa sana madrasa na kufanikiwa kumaliza juzuu 30 ila maisha anayoishi hayaendani kabisa na elimu aliyonayo.
Hatukatai anajitafutia rizki ila kwa kweli ni too much haswa kwa mtu kama yeye.
Kwa alipofikia sidhani kama atakuwa amehifadhi juzuu hata 1 kichwani kwake .
Aangalie mfano wa Lavalava licha ya kuimba muziki lakini muda mwingine anajirudi na kufanya mambo ya Allah.
Hata familia aliyonayo wanaishi maisha ambayo si ya kiislamu kabisa kana kwamba hakuwahi kuwa muislamu kabisa.
Mwijaku abadilike hata ndugu zake wa karibu huwa wanamsema yani tangu apate kijina kidogo amekengeuka na kuwa wa hovyo sana.
Do you really expect a typical Pimp like him to behave as you ought and be Ethical like others?Niseme tu ukweli huyu jamaa huwaga namshangaaga sana ,licha ya kukaa sana madrasa na kufanikiwa kumaliza juzuu 30 ila maisha anayoishi hayaendani kabisa na elimu aliyonayo.
Hatukatai anajitafutia rizki ila kwa kweli ni too much haswa kwa mtu kama yeye.
Kwa alipofikia sidhani kama atakuwa amehifadhi juzuu hata 1 kichwani kwake .
Aangalie mfano wa Lavalava licha ya kuimba muziki lakini muda mwingine anajirudi na kufanya mambo ya Allah.
Hata familia aliyonayo wanaishi maisha ambayo si ya kiislamu kabisa kana kwamba hakuwahi kuwa muislamu kabisa.
Mwijaku abadilike hata ndugu zake wa karibu huwa wanamsema yani tangu apate kijina kidogo amekengeuka na kuwa wa hovyo sana.
Sisi kwetu Ilmu Akhera ndio muhimu zaidi SheikhAcha upuuzi,Bakheresa na dangote wana majuzuu mangapi vichwani?baadala ya kujaza PHD,Bachelor na Masters,unajaza maandishi ya kiarab!mwishowe ni kuwa mchawi tu,na mwanga
Watu Wa Kigoma Mwanaume Anaweza Kuitwa Jina Maria, Shida, Amina, HalimaKumbe ni muslim maana anaitwa Burton.....
Huyo Huyondo yule anajiita DC wa insta
Hapo jambo la hovyo labda no. 2 pekee.Maisha aliyochagua kuishi yanaendana na elimu yake ya dini?
Hapo bado hatujazungumzia video yake chafu na Menina.
Bado hatujazungumzia anavyowashika shika hovyo wanawake bila kuona aibu kwamba ana mke