Mwijaku ana juzuu 30 ila maisha anayoishi hayaendani kabisa na elimu ya dini aliyonayo

Kazi yake ipo wazi, havunji sheria za nchi kosa lake ni lipi, acheni kumwonea wivu.
 
Maisha aliyochagua kuishi yanaendana na elimu yake ya dini?

Hapo bado hatujazungumzia video yake chafu na Menina.

Bado hatujazungumzia anavyowashika shika hovyo wanawake bila kuona aibu kwamba ana mke
Maisha yake yanakuhusu nini, angalia yako.
 
Tuzungumzie DP world, kampuni ya Marekan ya Indiana kuidai Tanzania mabilioni ya mapesa
 
Alijaribu kuishi maisha ya juzuu unayotaka. Akawa hohe have, ndugu wanamsema hajishughulishi na akawa omba omba. Kachagua maisha yanayompa ugali aachwe.
 
Mwijaku nakumbuka nilikutana nae Mzumbe university miaka ya 2009 anasoma degree ya human resource. Alikuwa mpuuzi hivyo hivyo alivyo leo. Tofauti yake alikuwa hajulikani tu nchi nzima

Mwijaku upuuzi hajaanza leo wala jana
 
Chai
 
Ukiwa mvaa kobozi sio lazima baadhi ya fyuzi ......au basi
 

Yule mzee chiro alisoma hadi jami'ah kwa maana alkuwa na shahada kwenye masuala ya dini lakini akaishia kuigiza mchungaji sijui yuko wapi siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…