Mwijaku ana juzuu 30 ila maisha anayoishi hayaendani kabisa na elimu ya dini aliyonayo

Unataka akale wapi? Ujamuona mzee yusuph yalimshinda hayo maisha
 
Kafanya kosa gani, wewe enedelea na juzuu zako tuone kama zitakuletea ugali mezani.
 
Mwijaku ndo nani
Ana deal na Ishu gani hapa Nchi Tanzania
 
Mwanaume mwenzako anatafuta maisha piga kimya hajaua, hajaiba ,siyo choko Tena labda umemzidi dhambi ....he u piga kimya
 
Upo sahihi kaka,sema wengi hawata kuelewa kutokana na chuki za kiimani, umefikisha ujumbe akiona aufanyie kazi,Qur an ukiitumia ipasavyo itakupa kila kitu katika maisha ya dunia na akhera.

Wapi watu wengi wenye maisha na vyeo kupitia Qur an.
 
Upo sahihi kaka,sema wengi hawata kuelewa kutokana na chuki za kiimani....umefikisha ujumbe akiona aufanyie kazi,Qur an .....ukiitumia ipasavyo itakupa kila kitu katika maisha ya dunia na akhera.

Wapi watu wengi wenye maisha na vyeo kupitia Qur an
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…