mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Ukweli mtupubongo upumbavu ndio unalipa,jitoe akili afanye maisha hata ikulu utaingia kwa kufanya upumbavu.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli mtupubongo upumbavu ndio unalipa,jitoe akili afanye maisha hata ikulu utaingia kwa kufanya upumbavu.
kabisa mzee wa Home Alone Camp kitambo😁Ukweli mtupu
Ova
Mkuu Unawashangaa ma thed dwellers, the 99% na hand to mouth wenzako?😅🤣🤣Kwani huyo mtoto kampa milioni?
Hatumii bangi huyu jamaa? au madawa?
Yeah...ndiyo ukweliKama ni kweli havunji katiba ya nchi na wala hamkufuru Mungu basi yuko sawa kwa anachofanya
Kila mtu ana namna yake ya kutafuta
Kashauri tuepuke watu kama wewe 😂😂Kwani huyo mtoto kampa milioni?
Hatumii bangi huyu jamaa? au madawa?
Bora wewe uliyekimbia nchiMkuu Unawashangaa ma thed dwellers, the 99% na hand to mouth wenzako?😅🤣🤣
Acha uongo.hizo ni content pia. mwijaku ana degree ya creative arts ya udsm
mfano hiyo content itatrend sana na yeye ndio lengo lake kuu kwenye sanaa bunifu
HahahaBora wewe uliyekimbia nchi
Acha uongo.
King check mtoto mdogo mwenye pesa nyingi.Nampongeza Mwijaku kwa kazi yake ,piga kazi mkuu.
Nampongeza Mwijaku kwa kazi yake ,piga kazi mkuu.
Uyo ni content creator muacheni na kazi yake anajielewa akili ndogo ndo hamuwezi kumuelewaMwijaku anasema ukiwasikiliza watu utakufa maskini. Epuka watu wanaokuambia unajidharirisha, fainali ni uzeeni.
Video
www.facebook.com
Hahahaa kiongozi wa chama na serikali.
50 cent🤙Get rich or die tryn