Mwijaku anasema ukiwasikiliza watu utakufa maskini. Epuka watu wanaokuambia unajidhalilisha, fainali ni uzeeni

Mwijaku anasema ukiwasikiliza watu utakufa maskini. Epuka watu wanaokuambia unajidhalilisha, fainali ni uzeeni

Sahvi we wekeza kufanya maujingaujinga,ongea sanaaa
Utawapata sana watu na utajipigia hela
Maana wtz wengi wanapenda kufatilia mambo hayo
Naona sHvi kuna mwingine anakuja mdg mdg anaitwa suzy bale

Ova
 
Umasikini ni mwingi...., unaweza ukawa masikini wa fikra na busara mwenye wingi wa pesa na material things
 
Back
Top Bottom