Tetesi: Mwijaku kufukuzwa kazi Clouds media

Ni kweli wengi hawana ajira wakati kuipata hiyo CPA nasikia ni kazi ya ziada!? Inawezekana vipi!?
 
Ni kweli wengi hawana ajira wakati kuipata hiyo CPA nasikia ni kazi ya ziada!? Inawezekana vipi!?
Inawezekana. Tanzania siasa hadi kwenye elimu. Umesahau ile kozi sijui ya gesi na nn. Baadhi ya wahitimu ushakutana nao? Sina status yao ina nahisi ilikuwa kozi ya kisiasa. Wajuzi watasema.
 
Wengi hamumfahamu Mwijaku vizuri!
Mwijaku wengi mmemjua baada ya kuingia clouds...!!
Mwijaku ni zaidi ya chawa na ni zaidi ya mwanahabari wa redio!
Hyo zaidi ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…