Tetesi: Mwijaku kufukuzwa kazi Clouds media

Huyu jamaa nakubali interviews zake sana

Ni mzinguaji kweli kweli
 
Naomba kujuzwa hivi huyo sijui lokole Ana taaaluma gan inaliyomfanya akaajiriwa kwenye wasafi media kama sikosei,naomba kujuzwa.....
Talent ya umbea. Pale wasafi watangazaji hawana Elimu ya utangazaji. Wenye Elimu kama Dida wana Diploma ya Journalism.
 
Mwijaku sio graduate wa school of journalism.

Mwijaku ni graduate wa udsm department of creative arts. Amesoma shahada ya sanaa ya maigizo.

Na hata clouds media group mwijaku hajaajiriwa kama journalist.

Mwijaku ameajiriwa kama media artist
Media artist anafanyaje utangazaji sasa[emoji848]
 
Hadhi ya UDSM kwa Tanzania iliishia mwaka 1995 tu na kuanzia hapo ni Chuo Kikuu cha Kawaida mno mpaka kimezidiwa na changu cha SAUT Mwanza, Iringa University, Mwenge ( Tumaini ) University na Mzumbe University.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaa sanaaa hivyo Vyuo uchwaraa viizidi UDSM?? Hauko serious wee.
 
Talent ya umbea. Pale wasafi watangazaji hawana Elimu ya utangazaji. Wenye Elimu kama Dida wana Diploma ya Journalism.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaah
 
Media artist anafanyaje utangazaji sasa[emoji848]

Media artist anafanyaje utangazaji sasa[emoji848]

Ni part ya majukumu yaliyopo kwenye media.

Kama umewahi kuajiriwa formal employment na ukapewa job discription yako lazima umeona terms mojawapo kati ya hizi katika job dicriptions yako

- Perform all other duties assigned by supervisor or manager

-Perform appropriate duties as assigned by management

-Perform all other duties and tasks as assigned

-Other duties as assigned from time to time.

Hizo terms za ajira ndizo zinamfanya mwijaku umuone anatangaza.

Mwijaku clouds yupo miaka kibao. Ila kutangaza redio umeanza kumuona lini ?

Mwijaku sio journalist. Na hata kitambulisho chake cha kazi kimeandika kazi yake.

Sio kila anaefanya kazi hospital ni daktari ama nesi
 
Ahsante
 
Back
Top Bottom