BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
°sijakataa kama division of labour ni muhimu sana.Mimi nakushangaa wewe usiyejua maana ya division of labour. Unaemuona mwijaku ni mjinga sababu anafanya kazi media.
Taaluma zote duniani ni muhimu maana tunategemeana.
Mhasibu anamtegemea daktari amponeshe akiumwa. Daktari anamtegemea mkulima alime ili yeye apate chakula. Taaluma zote duniani ni muhimu ikiwa kama mkulima halimi vyakula kila siku, hatuwezi kupata chakula. Ikiwa daktari hatatoa matibabu, watu watakufa kwa magonjwa.
fani zote zina umuhimu.
Usilazimishe mwijaku awe kilaza sababu hajasoma sheria ama CPA.
Ndio maana pale udsm aliposoma mwijaku ama vyuo vikuu vyote hata Havard wameweka degree za fani tofauti tofauti. Sababu wanajua mgawanyo wa majukumu.
Binadamu tuliopo duniani tuna mahitaji mengi ambayo wahasibu ama wanasheria hawawezi kutupatia mahitaji yote ya dunia peke yao.
°ni kweli fani zote ni muhimu sana,
°Lakini lazima ujue mwenye CPA anaweza kufanya baadhi ya kazi za Journalism, lakini Mwenye degree ya Journalism hawezi kufanya kazi za CPA, ndiyo maana Kikeke kasomea Diploma ya Kilimo lakini ni Muandishi wa Habari