Tetesi: Mwijaku kufukuzwa kazi Clouds media

Tetesi: Mwijaku kufukuzwa kazi Clouds media

Huyo jamaa pamoja na uchawa wake ila ni graduate wa Udsm, school of journalism 😀😀

Mwijaku sio graduate wa school of journalism.

Mwijaku ni graduate wa udsm department of creative arts. Amesoma shahada ya sanaa ya maigizo.

Na hata clouds media group mwijaku hajaajiriwa kama journalist.

Mwijaku ameajiriwa kama media artist
 
Habari.

Taarifa zisizo Rasmi inasemekana mtangazaji wa clouds na chawa promax wa wasanij mbalimbali nchini maarufu kama mwijaku.

Amesimamishwa kazi na menejimenti yake baada ya utovu wa nidhamu na ruhusa mbalimbali zisizo na sababu.

Chanzo cha Habari kilichomuhoji juma lokole ndiye aliyeeleza suala hili kwa kina zaidi.

Hata hivyo mwijaku hajaweza kusikika kwenye kipindi chake cha Leo tena kwa wiki sasa.

Tuendelee kumuombea ndugu yetu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app

Yaani nimuombee Mwijaku fala kama hiyo kabisa?.
 
°kwa hiyo CPA T ya mke wake ni yake? Is CPA shared or transferable?

Nimekujibu kuonesha hiyo CPA unayoiona elimu kubwa mwijaku kaweka ndani mwenye nayo anamfulia mwijaku nguo , anampikia anamzalia watoto pamoja na cpa yake.

Duniani tunategemeana. Heshimu elimu ya mwijaku pamoja na kazi yake .

Maana anafanya alichosomea kwa ufanisi ndio maana anapata madili na ajira anayo.

Mwijaku anapigiwa simu mpaka na Rais na anasifiwa kwa kazi yake ya sanaa, sio kazi ndogo rais wa nchi kukupigia simu live kama wewe ni kilaza .
 
°kwa hiyo CPA T ya mke wake ni yake? Is CPA shared or transferable?
CPA T sijui ni ubahili au wana njaa au wengi hawana ajira. Nimebahatika kuwepo eneo la tukio Siku ya mikutano yao kule Arusha sababu huwa nakua huko mda mwingi, ni Tofauti kabisa na mikutano ya sheria.

Siku ya mkutano sheria utajua sababu utaona tax nyingi na boda kiasi zinasubiri nje ila siku ya mikutano ya cpa utajua sababu utawaona wengi na mabegi yalioandikwa cpa na boda nyingii.
 
Nimekujibu kuonesha hiyo CPA unayoiona elimu kubwa mwijaku kaweka ndani mwenye nayo anamfulia mwijaku nguo , anampikia anamzalia watoto pamoja na cpa yake.

Duniani tunategemeana. Heshimu elimu ya mwijaku pamoja na kazi yake .

Maana anafanya alichosomea kwa ufanisi ndio maana anapata madili na ajira anayo.

Mwijaku anapigiwa simu mpaka na Rais na anasifiwa kwa kazi yake ya sanaa, sio kazi ndogo rais wa nchi kukupigia simu live kama wewe ni kilaza .
°mbona umetoka kwenye msingi wa wa hoja yangu ya awali, hoja yangu ilikuwa Journalism isn't a big deal compared to prestigious professional like CPA, Advocate huo ndio msingi, ukaja ukasema mke wake ana CPA nikakwambia CPA sio kitu Cha Kushea na sio kitu Cha kuhamishika.

°mimi Naheshimu Elimu ya Certificate ya Kitenge kuliko Degree ya Journalism ya Mwijaku

° Kwa hiyo mke akifanya majukumu yake ni tatizo? Au inaondoa ukubwa wa elimu yake?
° Kwa hiyo ukisifiwa na Rais tayari ww ni genius?
 
CPA T sijui ni ubahili au wana njaa au wengi hawana ajira. Nimebahatika kuwepo eneo la tukio Siku ya mikutano yao kule Arusha sababu huwa nakua huko mda mwingi, ni Tofauti kabisa na mikutano ya sheria.

Siku ya mkutano sheria utajua sababu utaona tax nyingi na boda kiasi zinasubiri nje ila siku ya mikutano ya cpa utajua sababu utawaona wengi na mabegi yalioandikwa cpa na boda nyingii.
°bwashee una chuki
 
°bwashee una chuki
Kwann boss? Ni kweli, siku ya mkutano wa cpa wanakuwa wengi na mabegi yameandikwa cpa na wanaonekana kama wapambanaji fulani hivi tofauti na professionals.

Sasa mm nawafahamu kwani mpaka niwachukie? Nadhani ajira ndo hakuna. Na nafikiri hii kitu ya kuwataka wasiwe na mihuri mpaka sijui wafanyaje inasababisha washindwe kujiajiri tofauti na wenzao wa sheria ukimaliza law school unapewa ukatafute riziki.
 
°mbona umetoka kwenye msingi wa wa hoja yangu ya awali, hoja yangu ilikuwa Journalism isn't a big deal compared to prestigious professional like CPA, Advocate huo ndio msingi, ukaja ukasema mke wake ana CPA nikakwambia CPA sio kitu Cha Kushea na sio kitu Cha kuhamishika.
°mimi Naheshimu Elimu ya Certificate ya Kitenge kuliko Degree ya Journalism ya Mwijaku,
° Kwa hiyo mke akifanya majukumu yake ni tatizo? Au inaondoa ukubwa wa elimu yake?
° Kwa hiyo ukisifiwa na Rais tayari ww ni genius?

Mimi nakushangaa wewe usiyejua maana ya division of labour. Unaemuona mwijaku ni mjinga sababu anafanya kazi media.

Taaluma zote duniani ni muhimu maana tunategemeana.

Mhasibu anamtegemea daktari amponeshe akiumwa. Daktari anamtegemea mkulima alime ili yeye apate chakula. Taaluma zote duniani ni muhimu ikiwa kama mkulima halimi vyakula kila siku, hatuwezi kupata chakula. Ikiwa daktari hatatoa matibabu, watu watakufa kwa magonjwa.

fani zote zina umuhimu.

Usilazimishe mwijaku awe kilaza sababu hajasoma sheria ama CPA.

Ndio maana pale udsm aliposoma mwijaku ama vyuo vikuu vyote hata Havard wameweka degree za fani tofauti tofauti. Sababu wanajua mgawanyo wa majukumu.

Binadamu tuliopo duniani tuna mahitaji mengi ambayo wahasibu ama wanasheria hawawezi kutupatia mahitaji yote ya dunia peke yao.
 
Back
Top Bottom