Mwijaku kuwa makini sana na Kauli zako za kumtaka Shemeji yako Aziz K apigie mbali ili atufunge tarehe 8, kwani tutakupiga / utapigwa uje Kutulaumu

Mwijaku kuwa makini sana na Kauli zako za kumtaka Shemeji yako Aziz K apigie mbali ili atufunge tarehe 8, kwani tutakupiga / utapigwa uje Kutulaumu

x.jpg
 
Kwa Kauli yake tu hio huwez kuamin pengine milioni kumi zishaingia kwenye akaunti yake.
 
keshakula 10 milliion
Labda kama alimaliza kwa kuzibuliwa mabao ila sio kwa kupewa zaidi ya robo ya mshahara wa Aziz Ki anaovujia jasho kupata mwezi mzima kisha atoe kirahisi tu kwa mtu kwa kupiga domo kwa dakika kadhaa.
 
Back
Top Bottom