Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Napata hasira kali sana kuona hawa Makanjanja wakiongelea mambo nyeti ya nchi kwa ushabiki na mzaha. Hawa watu wamejaa ujinga na masihara inatia aibu kuona wanavyoongea na kujaribu kuelezea vipengele vya kisheria kuhusu mkataba huu ila hamna wanachojua aibuu tupu.