Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
daah inasikitisha hii nchiWakuu
Chawa wa Rais Samia, maarufu Mwijaku ameungana na baadhi ya Wananchi wa Muheza kupiga deki barabara akidai ni ishara ya upendo kwa Rais
Soma, Pia: DC wa Ilala na Mwijaku wasema kampeni ya 'Hala Bi Mkubwa' itanadi kazi zilizofanywa na Rais Samia
Mambo ya hovyo Katika nchi ya hovyoWakuu
Chawa wa Rais Samia, maarufu Mwijaku ameungana na baadhi ya Wananchi wa Muheza kupiga deki barabara akidai ni ishara ya upendo kwa Rais
Soma, Pia: DC wa Ilala na Mwijaku wasema kampeni ya 'Hala Bi Mkubwa' itanadi kazi zilizofanywa na Rais Samia
π€Uchawa, ushoga ndio fani zinazolipa mjini kwa sasa.
Nenda na we ukadeki barabara mkuu πKuna watu hawatakula leo kwa kuiona hiyo picha!
Ndomana ushoga umepamba moto sana sahviUchawa, ushoga ndio fani zinazolipa mjini kwa sasa.
Mi ntadeki akija Mwanza.Nenda na we ukadeki barabara mkuu π
Ova