Mwijaku na Wana Muheza wadeki barabara kama ishara ya upendo kwa Rais Samia

Mwijaku na Wana Muheza wadeki barabara kama ishara ya upendo kwa Rais Samia

Kwa kweli taifa hili linapaswa kuonewa huruma. Effects za vijana kujitoa ufahamu zitaanza kuonekana baada ya miaka kadhaa na tutaanza kujiuliza tumefikaje hapa?
Tumewekeza zaidi kuwawezesha machawa kuliko hata kwenye kuwahimiza kuanzisha startups na elimu.
 
Tuwakumbusha hata Congo yalianza hivi na hawakufiri kama wote wangekuwa wakata mauno
 
Back
Top Bottom