Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Unanikumbusha kwenye vijiwe vya kahawa. Anakuja jamaa anaanzisha mada halafu anakimbia. Wanaobaki wanaanza kubishana nusra wapigane.Mobeto ana mtoto wa billinas we ni kilaza kubali
Aisee,kweli mjini shuleUkimfuatilia Mwijaku utapoteza muda wako.
Hao ndiyo wanavyoingiza pesa zinazowafanya waishi mjini.
Mwijaku, Juma lukole na Dada wa taifa.
Huyo dada wa taifa amefungua application inayowataka watu walipie. Hapo watu wanaishi.
Baba Levo unamjua? Mdomo ndiyo unaomfanya anakula WCB.
Narudia tena we fala wewe sasa ndo hujaelewa unajifanya mjuaji,tittle ya thread inasema Mwijaku: Ni wakati sahihi kwa Nandy kuanza kupeleka matumizi ya mtoto kwa Mobetto,inajulikana wazi kwamba Billnas ana mtoto na mobeto lakini kwanini Mwijaku kasema Nandy ndo amchukue mtoto na sio Billnass!!?? Sasa jibu ni hivi siku zote Mwijaku anasema Billnass analelewa na Nandy hivyo hatakuwa na uwezo wa kumlea huyo mtoto thus why amemtaka Nandy(anayemlea Billnass) akamchukue mtoto amtunze na sio Billnass(anayedai analelewa na Nandy) hivi ulikunywa chai kweli!? Leo ndo nimeamin humu jf kuna watu huwa wanaamka na stress wallahMobeto ana mtoto wa billinas we ni kilaza kubali
Machoko mnajuana kwa hiyo mobeto hana uwezo wa kumtunza mwanaeNarudia tena we fala wewe sasa ndo hujaelewa unajifanya mjuaji,tittle ya thread inasema Mwijaku: Ni wakati sahihi kwa Nandy kuanza kupeleka matumizi ya mtoto kwa Mobetto,inajulikana wazi kwamba Billnas ana mtoto na mobeto lakini kwanini Mwijaku kasema Nandy ndo amchukue mtoto na sio Billnass!!?? Sasa jibu ni hivi siku zote Mwijaku anasema Billnass analelewa na Nandy hivyo hatakuwa na uwezo wa kumlea huyo mtoto thus why amemtaka Nandy(anayemlea Billnass) akamchukue mtoto amtunze na sio Billnass(anayedai analelewa na Nandy) hivi ulikunywa chai kweli!? Leo ndo nimeamin humu jf kuna watu huwa wanaamka na stress wallah
Kazeze kweri kweriiAiseeeee Dry Chama Ruge-->Nandy-->Nenga--->Mobetto-->Jizzo-->Lulu -----Ni kazeze Ni Kazeze.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimesoma comments zote dry. Au labda Nandy msagaji kwamba alimsaga Mobetto? Sasa how mimba?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa unakataa nn na unakubali nn?Mobeto ana mtoto wa billinas we ni kilaza kubali
Nimesoma comments zote dry. Au labda Nandy msagaji kwamba alimsaga Mobetto? Sasa how mimba?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa unakataa nn na unakubali nn?
Au umbea na udaku sio fani yako??
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nimevamia jukwaa kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa unakataa nn na unakubali nn?
Au umbea na udaku sio fani yako??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nataka nianze kuifatilia maana siielewi, ila kwa hii comment ngoja niishie hapahapaMtu anayefatilia habari hizi atakuwa Choko
[emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]We fala nini! Sasa hapo ambacho hakieleweki ni nini,Nandy ana mtoto na Mobeto!??
Mtoto hajui chochote masikini....sio vizuri[emoji848]Huwa nachukia sana watu wanapomuingiza minor kwenye ishu zao binafsi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km yulee mbongo fakee, kauzwaa ughaibuni now kawa chawaa wa connector wake. Dunia tamuuu hii.Cha unabe..apambane na familia yake..ya mobetto na familia ya william havimuhusu.
Namuoneaga huruma mkewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiih.Yaani nimevamia jukwaa kwa kweli
Ni mimi tu ndyo nimekuelewa!Aiseeeee Dry Chama Ruge-->Nandy-->Nenga--->Mobetto-->Jizzo-->Lulu -----Ni kazeze Ni Kazeze.