Mwijaku vipi, ameshamkabidhi Mke wake kwa Ali Kamwe?

Mwijaku vipi, ameshamkabidhi Mke wake kwa Ali Kamwe?

Kamwe haonekani tangu siku ya wananchi, vyombo vinavyohusika vimtafute tujue yu hali gani.
 
Mwijaku sio baba levo, ishakula chuma hiyo
 
Mtangazaji Mwijaku alitoa ahadi kuwa Yanga Sc ikimfunga Simba basi atampa mke wake Ali Kamwe ambaye ni Msemaji wa Yanga

Vipi sasa kashampeleka kwa Ali Kamwe au Kamwe amfuate mwenyewe?

Ubaya Ubaya tu.

Soma Pia: FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Hawa wafuatao, wanatumwa kufanya JAMIICHECK ili waje na majibu kama bibie keshapelekwa au bado anaandaliwa,

GENTAMYCINE, Kalpana, cocastic, Tsh, Lupweko

Dadaangu Bantu Lady wasimamie hawa waje na majibu
 
Kama una akili timamu huwezi poteza muda kutilia maanani maneno ya Mwijaku
 


 
Back
Top Bottom