Mwili uliokufa kuweza kurudishiwa uhai ndani ya maabara kubwa

kama mbwa aliweza kufufuliwa nae ana nafsi kama mwanadamu basi ipo siku huenda mwanadamu nae atafufuliwa
That was semi death I can also perform that act in a very professional way
 
yapi hapo wanazungumzia mtu aliyekufa masaa machache tu kabla ya kufanyiwa hiyo cryonpreserve na si mtu aliyekufa wiki mbili zilizopita huo hata mwili wake ukifanyiwa cryonpreserve hatafufuka
Roho ikishatoka imetoka hairudi nyuma.. Haina gear ya reverse
 
Noana hao scientist wanataka kutengeneza mazombi tu.
 
wew mshana sasa unaleta ulozi kwani mtu kufa nusu (semi death) unamaana gani?
A true story
Bibi mmoja alikuwa ananiita mume wake alikuwa bibi yangu wa hiari.. Tulifahamiana 2007 Mbagala ... Mwaka 2015 akaanza kuumwa serious.. Kulingana na umri wake wakamrudisha nyumbani alikuwa ni mkuria... Huyu bibi alikufa maranyingi kabla ya kufa kabisa na kama ndugu wangekubali mababij uchwara wamuombee wangechukua point za bure... Bibi alikufa anakata pumzi hata siku nzima watu wakiandaa mazishi kesho mtu katinduka... Thats what we call semi death
Mwingine alikuwa babu yangu... Yeye ni mpaka alipowaaga rasmi ndio akafa kabisa
 
hahaha mshana umeshaleta ulozi huku sasa huyo si taayari alikufa kilozi sasa huku tunataka waliokufa total yani roho itoke halafu wafufuke kama huyo mbwa alivyokufa na kufufuka
 
Einstein amesema kwamba matter and energy are interconvertible and their product is constant. Ina maana kwamba matter ni potential energy na energy ni potential matter. Technologia nzima ya leo inategemea na principle huo. Consciousness ni energy ni roho na ni nafsi. Binadamu ana consciousness na huo consciousness ni sehemu ya universal consciousness. Ufufuaji ni property ya energy - roho, kama tuseme maji - water - steam - water - ice - water … Utashi ni property wa roho, wa kila cell mwilini. Utashi ni uhai. Kila cell ina roho na utashi wake unawezesha kujiunga na cells nyingine na kutengeneza na kuhimili mwili nzima. Chanzo cha ugonjwa ni kutokuwa utashi.
 
Aisee hizo costs ni kwa kipindi cha muda gani?
 
Nimeenda kuchek hiyo video asee inavyoonekana jamaa hakufa ila alikuwa kwenye koma though mm ia naamini mwili unapo cease soul ina kuwa somewhere else
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…