Mwili uliokufa kuweza kurudishiwa uhai ndani ya maabara kubwa

Mwili uliokufa kuweza kurudishiwa uhai ndani ya maabara kubwa

hii kitu ndugu ni abstract ingekuwa inahusu physics ningesema ni metaphysics yaan unywele wa kiumbe kilichokufaga ukipatikana ukirudishe hicho kiumbe upyaaaa hakika hakika haitatokeaaa hiyo
Yaani mkuu,nimeshindwa kuelewa mpaka sasa,,but anadai kua kiumbe kipya kitakua na tabia na sura kama ya kilichokufa
 
MKuu hi research yakufanikisha mungano kati ya computer na ubongo wa binadamu wanadai itafanikiwa kwa kiwango kikubwa pia itamfanya binadamu aweze kujifunza kwa haraka pia kumfanya aweze kuishi milele but this would be electronically
kwa tetesi hiyo tayari kaka ipo kwenye blue beam project watu wamewekewaga macroship kama chanjo wakati wa wanaenda clinic bila kujua so now wote wanaweza kucontroliwa na computer inayomilikiwa na hawa majamaa wa blue beam pia sasa wanaweza hata kucontrol mawazo yako na kukucomand hata ujinyonge bila wewe kujua mkuu

yajayo kwenye new world order yanatishaaaa
 
hii ishu kuna sehemu niliisoma mwaka jana nikabaki natafakari sana hapo kwenye kurudisha uhai ila ngojaa tuwangojee
 
Ukweli ni kwamba kurudisha uhai wa binadam hyo ni ngumu. Ila katika hizo harakati zao wanaweza kuvumbua vitu vingine vikawa msaada kwa afya ya binadam. Swala la. Uhai wa binadam ni Mungu tu. This is the turning point for scientists it is beyond their scope of thinking
hujui tumeumbwa kwa mfano wake
 
upload_2018-5-16_21-4-6.png

upload_2018-5-16_21-6-16.png

hawa jamaa wanandoto lakini hazina maono ya kweli wanajikuta wanaconfidence balaa hizo ni screenshot za website yao wao wanaamini ipo siku watafanikiwa je wew unaamini hivyo au utaamini ipo siku watafanikiwa kwa mimi mpaka sasa sijashawishika kuamini mwenye nondo alete akosolewe

[HASHTAG]#lifecoded[/HASHTAG] njoo tusolvie hapa aise hiyo hata kama ni kuangalia DNA amevuka mpaka labda na supernatural force itumike hapo
nywele ,kucha ,ngozi,cell,nyama na mifupa hutumika kustudy DNA analysis ya mwanadamu husika..kwa hiyo ukipata kimoja wapo kinaweza kukupa picha halisi ya huyo mtu kupitia vifaa vinavyoitwa DNA image analyser kinakupa sequence nzima ya mfumo wake halafu wanarepricate gene zake [copy] na kuzifanyia cloning ndipo huyo mtu anaweza patikana..gene clonning in relation to genetic analysis inakupa picha halisi in phenotypic manner ya kiumbe huyo,,nahis inawezekana but gene clonning imepigwa marufuku duniani kwani ni hatari sana ile ..yan kupitia gene clonning unaweza unganisha gene za mbwa na binadamu halafu outcome ikaja sura ya binadamu lakini miguu na masikio ya mbwa....ni hatari sana hiyo..watabe wa gene clonning wapo Australia huko ndo wanazalisha viumbe wa ajabu sana kama result za experiment zao...kwa hiyo naamini wakipata gene za huyo mtu wanaemtaka wanaweza mpandikizia hata mnyama yoyote lakini akizaa anazaa binadamu..hiyo haipingiki kabsaa,,ndo mana ile technologia wameipiga marufuku make ni kama uzalilishaji wa utu
 
nywele ,kucha ,ngozi,cell,nyama na mifupa hutumika kustudy DNA analysis ya mwanadamu husika..kwa hiyo ukipata kimoja wapo kinaweza kukupa picha halisi ya huyo mtu kupitia vifaa vinavyoitwa DNA image analyse kinakupa sequence nzima ya mfumo wake halafu wanarepricate gene zake [copy] na kuzifanyia cloning ndipo huyo mtu anaweza patikana..gene clonning in relation to genetic analysis inakupa picha halisi in phenotypic manner ya kiumbe huyo,,nahis inawezekana but gene clonning imepigwa marufuku duniani kwani ni hatari sana ile ..yan kupitia gene clonning unaweza unganisha gene za mbwa na binadamu halafu outcome ikaja sura ya binadamu lakini miguu na masikio ya mbwa....ni hatari sana hiyo..watabe wa gene clonning wapo Australia huko ndo wanazalisha viumbe wa ajabu sana kama result za experiment zao...kwa hiyo naamini wakipata gene za huyo mtu wanaemtaka wanaweza mpandikizia hata mnyama yoyote lakini akizaa anazaa binadamu..hiyo haipingiki kabsaa,,ndo mana ile technologia wameipiga marufuku make ni kama uzalilishaji wa utu
upo correct mkuu nimeshagundua kitu kutoka kwa hawa washenzi
 
upo correct mkuu nimeshagundua kitu kutoka kwa hawa washenzi
unambiwa hivi mwaka 2008 jamaa walizalisha viumbe vya ajabu sana vilikuwa na vichwa vya binadamu halafu miguu ya ng'ombe,,unambiwa mpaka papa alilani sana kitendo kile ..yani ukitazama usoni ni sura za binadamu kabsa ila miguuni ni ng'ombe kabsaa...waliamua kuwapiga sindano za sumu wakafa na wakaambiwa wafunge mara moja maabara ile...lakini naamini wale jamaa bado wanendelea kufanya mambo yao mpaka sasa hivi sema hawapublish tu
 
listen broo ten bora umekuja,,,ni hivi madaktari wamefikia asilimia 85% ya kujua how human brain operates but kuna sehemu ndgo san bado zinaumiza vichwa hasa kujua ni part ipi ya brain inayocomand automatic myocitic death[ cardiac death] yani kila kitu kipo under control within the body,,,human cell has billions of genes that control the cell functions including gene inayocommand automatic cell death...wakishaigundua hiyo kuwa ipo location ya ngapi kwenye DNA kwisha habari yako hakutakuwa na automatic cell death.....ikishagundulika ni gene ipi tayar watapandikiza kwenye brain censor firing signal ambazo zitaprocess cell death sequence before some few seconds na ndipo brain itaweka negation ya kuruhusu automaticity cell death kwa cancel out firing signals .....inawezekana kabsaa mkuuu
Craziest idea ever! But they should try or proceed with Cloning. It is easier and proven
 
fact.....usibishane na nanotechnology,,,ile technolojia ni mwisho aise,,kuna mambo mengi yanafanyiwa test ikiwemo la mtu kukaaa mwezi mzima bila kura na tayari wameshaanza kufanikiwa kwa hilo huko Australia ,,,,,wamecheza na satient center kwenye brain na wamefanikiwa kwa hilo sema hawajaanza kuweka wazi...yani ukiona wametoa article flani juu ya jambo fulani ujue ilimeshafikiwa tamati au bado kidgo tu ila washaona possible outcomes ya jaribio hilo,,,wenzetu wapo very makini kwa tafiti na huwa wakiona negative result juu ya kitu flani wanabun kimya kimya utafit ule bila hata kuuambia ulimwengu kuwa wameprove failure..so inawezekana kabisa...ukitaka kuamini zaidi soma kitabu cha physics of the future written by michio kaku ndo utaelewa kuwa hilo jambo linaenda kufanikiwa kwa 100% kabsaaa,,,mimi sibishi aise i believe the outcome
Me too
 
katika kuchunguza sana nimeconfirm hii project wanamafanikio haya

1. wamefanikiwa kuwatoa mbwa na nyani damu yao yote na kuwafanyia cryon preservation yaani wakawaikea hiyo protective solution na kuwashusha kwenye liquid nitrogen na baada ya siku kadha wakawarm na kuwafufua upya hili wamefaulu na limedhibitishwa

2.wamefanikiwa kufufua minyoo iliyokufa (nematode worm)

3. wamefanikiwa kufufua figo ya sungura iliyokufa kabisa kwa hiyo njia ya cryon prservation na figo ilifufuka na imefanyiwa transplation kwa sungura mwingine now inafanya kazi

4. wamefanikiwa kukuuza human embryo mpaka kuwa mtoto mwenye organ zote pia wamefanikiwa kukuza tissue na kuhifadhi organ mbalimbali za mwanadamu na zipo hai mpaka sasa ila mwanadamu bado hawajafanikiwa kumrudishia uhai ila mpaka sasa wanaamini ipo siku moja watafanikiwa

5. wamefanikiwa kufufua brain tissues pia na human embryo aliyofanyiwa cryonpreserve alifufuliwa na kusurvive na kukua mpaka kuwa mwanadamu mwenye afya

6. wamefanikiwa kufanya cell regeneration na kumrudishia mtu ujana japo si asilimia mia moja bado kuna error

MASWALI MENGINE YALIYOJIBIWA NA HAWA

1. Ka mtu alikufa kwa ugonjwa basi atafufuka na ugonjwa wake kwa maana hiyo pale hata hivyo visababishi vya ugonjwa vitafufuliwa nae

2.wanamini wakifanikiwa hilo tiba ya kila ugonjwa itapatikana pia wataweza kureverse umri kirahisi na kwa ufanisi pamoja na kurepair cell zilizoharibikaa

HITIMISHO
UZI WANGU ULIKUWA NA DOCUMENT ZA ZAMANI SANA ILA HII NI CURRENT DOCUMENT NA HAPA HII KAMPUNI NDIPO ILIPOFIKIA SWALI LINABAKI PALE PALE JE WATAFANIKIWA KUFUFUA MWILI? KWA SASA SINA JIBU ILA NIWASILISHE HILI
 
keep watching every step in your life,nanotechnology is so fantastic
 
unambiwa hivi mwaka 2008 jamaa walizalisha viumbe vya ajabu sana vilikuwa na vichwa vya binadamu halafu miguu ya ng'ombe,,unambiwa mpaka papa alilani sana kitendo kile ..yani ukitazama usoni ni sura za binadamu kabsa ila miguuni ni ng'ombe kabsaa...waliamua kuwapiga sindano za sumu wakafa na wakaambiwa wafunge mara moja maabara ile...lakini naamini wale jamaa bado wanendelea kufanya mambo yao mpaka sasa hivi sema hawapublish tu
Du huku ni kupimana uwezo na mungu na mwishoni ndipo watamletea dharau mungu kama ilivyotabiriwa kwenye vitabu vya kiimani
 
keep watching every step in your life,nanotechnology is so fantastic
now nitafuatiliaaaaa hii kitu japokuwa kurudisha uhai wa mwanadamu ukakasi bado upo kama wamerudisha uhai wa mbwa je uhai wa mwanadamu walishindwa kuurudisha au wanaogopa kusema ukweli hadharani huenda watauliwa na manyamera na pia huenda wanadawa za magonjwa yote ila wanaogopa hawa manyamera wanaotengeneza ARVs watawapoteza? hapa ni unajiongeza na kukaa kimya unajaribu kuimba ule wimbo TAZAMA RAMANI UTAONA NCHI NZURI YENYE MITO NA MABONDE MENGI
 
Back
Top Bottom