Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CERN Accelerating science forum au website wameelezea vizuri sana wameelezea mishe mzima juu ya kutumia LHC kugundua hizo Dark energy,dark matter kupitia hiyo mission ya wormhole ,,inshort huwa nawafuatilia sana kila wanachofanya but inshu inakuja kuwa wanachopost ni 20% ya total mission reached na 80% back wanaziweka kama secret hivi,,ndo mana taarifa nyingi tunazipaa bada ya mision kukamilika...tunaweza kubishana habari zao kumbe wao sasa hivi wapo kwenye INTERGARACTIC CENTRE huko wanafanya yao,,,,any way lets keep learning coz knowlege is more important than anythingUpi ni ukweli kuhusu THE PHILADELPHIA EXPERIMENT
post za hiyo cern project ipo ndani ya huo uzi wa mshikaji alikuwa ameupost nikagongea nondo huko scrol kushuka chinii uupitieee utaona mzigo mkuuu
Mkuu hapo kwenye red uliposema "wana uwezo wa kutengeneza damu" ina maana mpaka sasa kuna damu ya kutengeneza "artificial blood?"Mkubwa, nakuelewa sana kuhusu mambo mengine yote uliyoandika. Kwa kuongezea tu, achilia mbali kuuhifadhi mwili na kuendelea kufuatilia mwenendo wa hizo cell. Wanauwezo kabisa wa kutengeneza mwili, ubongo, cell, damu, tishu, hisia na kila kitu maabara, tatizo lipo hapo kwenye uhai sijui niite pumzi ili unielewe? Sasa hiyo hata kama ndio mtu amekata roho hapohapo mkamuwahi viungo bado vya moto, mkamuwekea mashine au moyo wa bandia wa kusukuma damu, mambo yataendelea lakini hatafufuka.
Nnachosisitiza, sio trend ya cells au uharibifu wa viungo. Uhai kumtoka mtu. Ndio maana na kuuliza, wewe unauelewaje uhai?
kabla hajakujibu naomba nikueleweshe kitu hapo pia,,ni hivi wale jamaa wamefikai hatua ya kutengeneza kila organ sasa hivi,,hawajatengeneza na kuanza kusambaza ulimwenguni naomba hiyo uelewe kwanza,,,wamefanikiwa kutengeneza as the result from their experiment ...ile ishu kutengeneza ni garama san hawaweza anza kudonate kwa watu eti kisa wamefanikiwaa but hiyo ni plani ya badae...ilw washafanikiwa kufanya hayo yote but kuna experiment nyingi sana zinafanyika kimya kimya ...kuna watu wanapaswa kuwa model ya experiment hizo za organ transplant na mara nyingi huwa ni wafungwa...hiyo ni siri lakini usije ukaanza kuwaza mengi but nchi zilizoenedlea ziantumia wafungwa wa vifungo vya maisha kufanyiwa experiment za mambo yao wanayoyajua wao...but huwa ni siri sana,,dawa nyingi zinazotengenezwa zinafanyiwa check up kwea wafungwa kama akibaahatika kapona ndo zinaingizwa mjini but wale jamaa ni shidaa,,usiombe ukawa sample space...Mkuu hapo kwenye red uliposema "wana uwezo wa kutengeneza damu" ina maana mpaka sasa kuna damu ya kutengeneza "artificial blood?"
Binafsi sijawahi kusikia kama kuna artificial blood ambayo kuna binadamu kaongezewa! Bali najua ni lazima binadamu mmoja amsaidie damu mwingine kama group zao zinaendana,
Naomba kujua zaidi hapo uliposema wanaweza kutengeneza damu.
Mkuu hapo kwenye red uliposema "wana uwezo wa kutengeneza damu" ina maana mpaka sasa kuna damu ya kutengeneza "artificial blood?"
Binafsi sijawahi kusikia kama kuna artificial blood ambayo kuna binadamu kaongezewa! Bali najua ni lazima binadamu mmoja amsaidie damu mwingine kama group zao zinaendana,
Naomba kujua zaidi hapo uliposema wanaweza kutengeneza damu.
hata kama ningetaka ningekuwa najisumbua kutaka visvyowezekanaKwahiyo ulitaka hajitengeneze mwenyewe?
kila kitu kinapositiwa kwenye hiyo issue ya cern project na pia wanatafuta wanasayansi wenye uwezo wa kufanya nao kazi pale wanaposhindwa kwahiyo hata kama kuna mwanasayansi wa kiafrica anaweza kufanya nao kazi ni anajisalili tuu hata kama una mawazo yako unawapostia tuuCERN Accelerating science forum au website wameelezea vizuri sana wameelezea mishe mzima juu ya kutumia LHC kugundua hizo Dark energy,dark matter kupitia hiyo mission ya wormhole ,,inshort huwa nawafuatilia sana kila wanachofanya but inshu inakuja kuwa wanachopost ni 20% ya total mission reached na 80% back wanaziweka kama secret hivi,,ndo mana taarifa nyingi tunazipaa bada ya mision kukamilika...tunaweza kubishana habari zao kumbe wao sasa hivi wapo kwenye INTERGARACTIC CENTRE huko wanafanya yao,,,,any way lets keep learning coz knowlege is more important than anything
tatizo hizo unazosema organ zilizotengenezwa zina hata living cell moja tuu? kama hazina living cell usiziite organ ila hizo ni model za organ tu ni sawa na mtu kutengeneza kiunzi kinachoonekana kama fuvu la mwili wa mwanadamu lakini si fuvu kwelikabla hajakujibu naomba nikueleweshe kitu hapo pia,,ni hivi wale jamaa wamefikai hatua ya kutengeneza kila organ sasa hivi,,hawajatengeneza na kuanza kusambaza ulimwenguni naomba hiyo uelewe kwanza,,,wamefanikiwa kutengeneza as the result from their experiment . .
hakuna hicho kitu wew unata kuleta maandiko ya kidini hapa na hayo ni yanamwongelea mpinga kristo ndie atakayepewa za nguvu za kuufufua mwili uliokufa ila si mwanadamu kumfufua mwanadamu mwenzake hili halijaandikwa popoteMaarifa yataongezeka, dalili za mwisho, ngoja wathibitishe hayo!
factNimeweka hivyo kumaanisha mambo yote hayo yanawezekana iwe sasa au kwa siku za usoni, nilikua naweka msisitizo kwamba suala la uhai hata iwe karne ya mia ngapi, ni gumu sana.
Wangeweza kuwa na ubavu wa kuwa na uhai kama gas kwenye mitungi kwamba ukikata pumzi unaunganishwa fasta fasta naona ingekua afadhali kuliko hii ya kugandisha kisha uhuishe.
Ndugu hujui kama mpinga kristo inafanya kazi kupitia watu, ua unadhani ni majitu yasiyoonekana!hakuna hicho kitu wew unata kuleta maandiko ya kidini hapa na hayo ni yanamwongelea mpinga kristo ndie atakayepewa za nguvu za kuufufua mwili uliokufa ila si mwanadamu kumfufua mwanadamu mwenzake hili halijaandikwa popote
Hapo ndipo waafrika tunaposhindwa na wazungu!!!!!! badala ya kuumiza akili tunaenda kwenye maombiHawatafanikiwa,ni Yesu tu ndie aliekufa na akafufuka kwa uwezo wa Mungu...
mpinga kristo unamjua kwani ni mwanadamu? wafuasi wa mpinga kristo ni wanadamu ila haijaandikwa kuwa wafuasi wa mpinga kristo watakuwa na uwezo wa kuufufua mwili badala yake imeoneshwa mpinga kristo mwenyewe ndie aliyepewa nguvu za kuufufua mwili tena kwa muda tuu si ana nguvu hizo foreverNdugu hujui kama mpinga kristo inafanya kazi kupitia watu, ua unadhani ni majitu yasiyoonekana!
very true ""few people know the reality .....but the rest have remain as they are in order to be controlled...open up your subconcious mind ujue yaliyonyuma ya pazia,,,but kwa mfano ujuio kwa chanjo ya HEPATITIS B virus ile chanjo inasemekana imepandikizwa baadhi ya vitu ...any way sitaki tufike huko watu wakanishambulia bure but understand that wasiojua ukweli ndo wanafuraha sana duniani ila wanaojua kila kitu they are scared about the reality
loooohh""kaweke order ya kuhifadiwa na cryonic preservation company kama pesa ipo lakini kama haipo utabaki na ule msemo mbuzi wa masikini hazai