Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unachozungumza ni mawazo yako tu ,lakini naomba nikwambie kitu kuna mtu alitegemea tutakuja kuwa na ARVs hata siku moja au kuwa na tiba ya magonjwa sugu ?? nobody expected but few knew that before,,simply bcoz it was a long plan ndo mana leo kuna dawa zake,,,,tatizo linakuja pale unapotaka wew ujionee hayo yote ukiwa bado mzima au ukiwa hai,,,,that is whre area of midunderstanding inapokuja,,,,kumbuka hizo ni long plani,,,kuna watu walifariki na maradhi ya kisukari kipindi cha nyuma na walikufa kwa sababu hapakuw ana dawa za kupunguza kisukari na waliamini hakuna tiba yake milele na wamekufa na idea hiyo ya kuamini kuwa kila mtu mwenye kisukari atakufa tu lakini kizazi cha sasa hivi kinashuhudia mengi sana kwenye tiba hiyo lakini bado nakuhakikishia miaka ya 2100 hakutakuwa na kisukari kama unavyofikilia...tupo kwwenye molecular diagnostic stage .....usiweke negation kwenye science,,,hivi ulitegemea leo hii ungeweza kuwasiliana na mtu kupitia simu yako kabsa,,,lakini kizaz kilichokufa miaka ya 1800 kiliamini juu ya mawasiliano ya redio call tu na kilikufa na imani hiyo lakini kizazi cha sasa hivi kinaaimini dunia imeumbwa na simu zake tayri hivo nakuhakikishia hilo litafanikiwa ,,,,,hilo litafanikiwa lakini mimi na wew hatutakuwepo duniani but kizazi cha miaka 2100 kitatoa ushahidlifecoded mkuu nimesubiri umetoa mawazo yako na baadhi ya fact na nimekusupport ili ufunguke ila sasa nakuhakikishia kama jibu langu lilivyo kwenye uzi huu ni kwamba mwili uliokufa hauwezi kufufuliwa tena kwa njia inayoonekana kwenye uzi
sababu hizi hapa
1. kufa kwa ubongo ndio kufa kwa moyo kwa maana hiyo ubongo unaocontrol matendo yasiyo ya hiari hufa kwanza na baadae moyo na vitu vingine navyo ndio vinakufa kwa maana hiyo hii miili iliyohifadhiwa sasa nayo ina ubongo uliokufa hivyo kuufanya mwili huo uishi lazma watafute ubongo mwingine pamoja na spinal cord + na nerve cell zote je kunauwezekano wa kufanya hivyo? hicho ni kitu kisichowezekana hata kidogo
2. unafikiri hili lilifanikiwa mpaka sasa hawa wanaoendelea na hii project wanakufa na kuhifadhiwa kwanini waliokufa kwenye hii project wasifufuliwe na waendelee na hii project
3.pia unafikiri hiyo solution wanayowekewa kuhakikisha hakuna kufreeze kwa cell ina uwezo wa kufikia cell zote mwillini je unafikiri ni mamia ya mabilioni ya cell ngapi zitakuwa zimekufa mode gani hiyo solution inapita mwili mzima against barrier za membrane za cell na sehemu zilizohitaji active transport bila kuharibu cell zenyewe mpaka sasa hiyo mechanism haijaoneshwa
4.unafikiri ni njia gani watatumia kuiondoa hiyo solution antfreeze agent kwenye cell zote za mwanadamu na isibaki hata kidogo wakati cell hazifanyi respiration
5. kwa maadai yao kama wanadai mtu akifa cell bado zinafanya respiration je hawaoni kigezo cha kutoa damu mwilini kwa mtu hawataweza kuitoa iishi kwa sababu cell bado zitaitengeneza na kama kuna madhara ya damu kubaki mwilini yatakuwa pale pale pia kama cell za mtu aliyekufa hazifanyi respiration basi nazo zitakuwa zimekufa hivyo tuseme mtu amekufa na cell zake
6. hakuna confidential document yoyote kuhusu hili pia nikuamishe hili jambo haliwezekani hata miaka ya maelfu ya mabilion ijayo halitawezekana na hii project ikiendelea kufanywa itaisababishia dunia kuingia kwenye mtikisiko wa uchumi
7. hakuna anayeweza kubadili nature bali nature ndio inabadili mtu
8. kwenye maandiko pia ya vitabu vya kidini nayo hayatenguliki kirahisi kwenye torati inaonekana lazima tufe tu
modification is the part of creation labda kama ulikuwa hufai...manake kila mtu ana watoto tumboni mwen you make a contact with a woman you allow modification of those cells to new organism that is what we call creation,,means you bring things into existance,,,haijalishi kilikuwepo au hakikuwepo but whatever you introduce new things within the universe itself you have made creation...labda kama sijui kizungu vizuri kutafsiri maana ya creation,,,sijui lakini point of confusion inatoka wapikuna post hapo nnimekujibu kama unapinga pia lete confidential fact hapa wew naona unashindwa kutofautisha modification au ugundunduzi na utengenezaji ndio maana haujawahi sikia mtu anatangazwa katengeneza labda ndege kwa badala yake utasikia mtu kagundua ndege ni kwamba ndege ilikuwa toka enzi lakini ilikuwa imejificha so haikugundulika but kipindi hicho ndio imegundulika na hapo moja kwa moja ni wamefanya modification kwa ndege halisi arukae ndivyo hivyo kwenye meli ni supercopy ya viumbe vinavyotembea kwenye maji magari pia ni supercopy ya wanyama wa nchi kavu wenye kasi kwa maana hiyo mwanadamu hajatengeneza kitu kipya bali ni kumodify nature tuu
unachozungumza ni mawazo yako tu ,lakini naomba nikwambie kitu kuna mtu alitegemea tutakuja kuwa na ARVs hata siku moja au kuwa na tiba ya magonjwa sugu ?? nobody expected but few knew that before,,simply bcoz it was a long plan ndo mana leo kuna dawa zake,,,,tatizo linakuja pale unapotaka wew ujionee hayo yote ukiwa bado mzima au ukiwa hai,,,,that is whre area of midunderstanding inapokuja,,,,kumbuka hizo ni long plani,,,kuna watu walifariki na maradhi ya kisukari kipindi cha nyuma na walikufa kwa sababu hapakuw ana dawa za kupunguza kisukari na waliamini hakuna tiba yake milele na wamekufa na idea hiyo ya kuamini kuwa kila mtu mwenye kisukari atakufa tu lakini kizazi cha sasa hivi kinashuhudia mengi sana kwenye tiba hiyo lakini bado nakuhakikishia miaka ya 2100 hakutakuwa na kisukari kama unavyofikilia...tupo kwwenye molecular diagnostic stage .....usiweke negation kwenye science,,,hivi ulitegemea leo hii ungeweza kuwasiliana na mtu kupitia simu yako kabsa,,,lakini kizaz kilichokufa miaka ya 1800 kiliamini juu ya mawasiliano ya redio call tu na kilikufa na imani hiyo lakini kizazi cha sasa hivi kinaaimini dunia imeumbwa na simu zake tayri hivo nakuhakikishia hilo litafanikiwa ,,,,,hilo litafanikiwa lakini mimi na wew hatutakuwepo duniani but kizazi cha miaka 2100 kitatoa ushahid
ni hiv wale jamaa wanachofanya sio kwamba wanahifadhi miili kama walivyotoa kwenye documentary yao..wanachofanya ni kuhifadhi mile miili huku wakiendelea kuhifadhi gene zinazohusika na formation ya mwili wako,,,ule mwili wanapoufreeze wnauweka kiporo ili kuendelea kusturd genes zinazohusika na somatic formation ya mwili wako...mtu unapokufa nafsi hutoweka lakini Cell zako [DNA] hubaki na copy ya mwili wako kwa muda flani kwa hiyo wnachofanya kuufreeze mwili ni mkuzuia cell zisiendelee kuharibika zaidi ili wao wakifanya genetic recopying ya genes zinazohusika na somatic body formation ,,wakimaliza kuzizalisha tayri wanaweza kuruhusu ziproreferate kutengeneza copy ya mwili ule ule wa kwanza hata kama ule mwingine utakuwa umeharibika....kwa hiyo lengo la kufreeze ni kuendelea kucopy DNA sequence ya somatic chromosomes zilibeba somatic genes [genes zinazohusika na formation ya sura na ngozi] ila kuhusu akili itakuwa ishahifadhiwa..soma vizuri kuhusu technolijia inayokuja ya kuapload human knowlege na kumpandikizia mtu mwingine..manake nini miaka ijayo tunaenda kuhamishiana knowlege kama tunavyorushiana nyimbo kwa brututhi,,yani ukimwona mtu katoa wazo flani kama umemwelewa unahamisha kwowlege yake ,wanaita mind apload,,,,these things are strange unaweza usiamini but that is how it is going to happen..sasa kama wataweza kuhamisha mind yako na knowlege huoni sasa kuwa ni rahis kumrudisha mtu in some modification,,think big utaelewa hiyo kitu..it is not sci-fiction but it is going to workSasa hata kama watafanikiwa naona kwa mwanzoni kutakua na utata sana. Unahifadhiwa leo ukija kufufuliwa miaka 100 au 300 ijayo unajikuta kila kitu kipya, haufahamiani na mtu yeyote, utaanza tena shule kujifunza mambo au utapandikizwa ubongo mpya unaoendana na maendeleo ya wakati huo?
Bado narudia tena, UHAI ndio unaotufanya tuishi, ukitoweka tunakufa. Unapoongelea ufufuo, pata kwanza uelewa wa uhai.
hata wew hayo ni mawazo yako na mimi pia nina mawazo yangu mkuu kama wew ungekuwa una document zisizokinzana ningeamini ni fact sababu mwanzo umesema hawa watakuwa wamefanikiwa kuufufua mwili saivi unasema huenda watafanikiwa kuufufua mwili miaka mia mbili ijayo here i'm prooved also you have idea not fact.nakuhakikishia miaka ya 2100 hakutakuwa na kisukari kama unavyofikilia...tupo kwwenye molecular diagnostic stage .....usiweke negation kwenye science,,,hivi ulitegemea leo hii ungeweza kuwasiliana na mtu kupitia simu yako kabsa,,,lakini kizaz kilichokufa miaka ya 1800 kiliamini juu ya mawasiliano ya redio call tu na kilikufa na imani hiyo lakini kizazi cha sasa hivi kinaaimini dunia imeumbwa na simu zake tayri hivo nakuhakikishia hilo litafanikiwa ,,,,,hilo litafanikiwa lakini mimi na wew hatutakuwepo duniani but kizazi cha miaka 2100 kitatoa ushahid
lete source ya hiyo document ulipoitoa hakuna maelezo kama hayo uliyoyatoa kwanza hawa majamaa inaonekana hata gene hawajaiwekea consideration hii experiment wameifanya local na moja kwa moja wanadai kuwa wanataka kuufufua miili waliyohifadhi siku zijazo na sio kucopy gene za miili hiyo kama unapinga hili tubishie kwa kuleta source ya document yako na itoke kwenye chanzo kinachoaminikani hiv wale jamaa wanachofanya sio kwamba wanahifadhi miili kama walivyotoa kwenye documentary yao..wanachofanya ni kuhifadhi mile miili huku wakiendelea kuhifadhi gene zinazohusika na formation ya mwili wako,,,ule mwili wanapoufreeze wnauweka kiporo ili kuendelea kusturd genes zinazohusika na somatic formation ya mwili wako...mtu unapokufa nafsi hutoweka lakini Cell zako [DNA] hubaki na copy ya mwili wako kwa muda flani kwa hiyo wnachofanya kuufreeze mwili ni mkuzuia cell zisiendelee
si bora ingekuwa unafufuka miaka miatatu ijayo hapo piga hesabu unafufuka miaka milioni ijayo na waliokuwa wanakufufua mwanzo unawakuta nao walishakufa wako kwenye process ya kufufuliwa tena hapo ndipo unaweza ukahitaji kujiua upya na kuhisi umehama sayariSasa hata kama watafanikiwa naona kwa mwanzoni kutakua na utata sana. Unahifadhiwa leo ukija kufufuliwa miaka 100 au 300 ijayo unajikuta kila kitu kipya, haufahamiani na mtu yeyote, utaanza tena shule kujifunza mambo au utapandikizwa ubongo mpya unaoendana na maendeleo ya wakati huo?
Bado narudia tena, UHAI ndio unaotufanya tuishi, ukitoweka tunakufa. Unapoongelea ufufuo, pata kwanza uelewa wa uhai.
ni hiviii,,death is one of the characteristics of living things but siyo guaranted kama unavyofikilia,,,naomba nikurudishe nyuma kidgo kama umesoma mambo ya JOHN DALTON kuhusu postulate zake za sub -atomic particles..alisema kuwa matter is made up by smallest indivisible particles ambazo akaziita atoms ,na aksema pia kuwa huwez tengeneza new atoms ,,yani kwa wakti ule kila mtu aliamini ni kweli lakini bada ya advancement in quatum physics and modern physics wamekuja kugundua kuwa atoms siyo kuwa ni indivisible particle hapana ni divisible particles kwani inaweza kuvunjika zaidi kutoa sub atomic particles zingine ambazo ni electrons ,protons na netrons..kwa hiyo modern physics inaprove wrong juu ya hilo swala ,,,lakini pia kupitia nuclear fission anf fussion we can recreate new atoms,,,yani huoni mkwamba hizo facts za kubase na analysis za zamani zinaenda zinaproviwa failure,,kwa hiyo hata medicine inaenda kuprove wrong point ya death kama characteristic of living things,,unakufa simply because hujajua how to control nature but ask those who had known a bit to control nature uone mambo wanayoyafanya..kama watu wamewez kucontrol weather wanashindwaje kucontrol nature.is weather not a part of nature,,?? uliza chochote nitakujibu kwa facts with evidence but usikate kwa mapokeoKifo ni Sifa ya kiumbe hai na huwezi kuzuia nature to take its place.
mawazo yao yanaendelezwa na kizazi ,,siyo kwamba wanaoanzisha mchakato ndo watafanikiwa but the programme is the continuation ya utafiti huo..kizazi kinachokujasi bora ingekuwa unafufuka miaka miatatu ijayo hapo piga hesabu unafufuka miaka milioni ijayo na waliokuwa wanakufufua mwanzo unawakuta nao walishakufa wako kwenye process ya kufufuliwa tena hapo ndipo unaweza ukahitaji kujiua upya na kuhisi umehama sayari
aise no scientific esperiment ambayo haihusishi gene labda nikwambie ukweli....mambo yanafanyika in molecular level ,,,ukiweza kucontrol gene umekontrol life ya celllete source ya hiyo document ulipoitoa hakuna maelezo kama hayo uliyoyatoa kwanza hawa majamaa inaonekana hata gene hawajaiwekea consideration hii experiment wameifanya local na moja kwa moja wanadai kuwa wanataka kuufufua miili waliyohifadhi siku zijazo na sio kucopy gene za miili hiyo kama unapinga hili tubishie kwa kuleta source ya document yako na itoke kwenye chanzo kinachoaminika
hawawezi cell moja simple yenyewe kwa tetesi nasikia walijaribu kutengeneza huko havard universiy na ikawatoa jasho ila walifanikwa ila nerve sijui sana ila cell hiyo ina organelles nyingi inaweza ikawa ngumuhao naomba kujua wanaweza kutengeneza neva
kikubwa wew lete document inayoonesha maelezo ya hilo jaribio pamoja na source yake ili tumalize huu ubishiaise no scientific esperiment ambayo haihusishi gene labda nikwambie ukweli....mambo yanafanyika in molecular level ,,,ukiweza kucontrol gene umekontrol life ya cell