Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Ulishaiona hiiBonge la movie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulishaiona hiiBonge la movie
Mmmmmh[emoji16][emoji16] movie zinawadanganya watu kuna movie ya Victor frankeinsten
Nafikiri jamaa atakuwa anaiongelea
mi nafikiri wangeanza tu kwanza na kuielewa genome kwa ukamilifu wake wote hii itasaidia sana, tutaanza kudeal na kimoja kimoja kuanzia magonjwa mpk issue ya kuzeeka then tutamalizia na natural deathmpaka sasa kuna challenge kwenye kuzuia kifo but challenge inakuja kwa sababu bado hawajaigundua ile gene inayocomand automatic cardiac cell death,,,ila ikishajulikana ipo kwenye allocation namba ngap kwenye DNA sequence tutakuwa na uwezo wa kuzuia isiruhusu cell death kwa kudetect sequence changes before the action line......tayar kuna research imefanyika ya kugundua genes zote zilizopo kwenye DNA sequence ya cell,,,wameiweza kudetect normal genes and abnormal genes,,kwa mfano tayri tushajua kuwa gene inayoprocess abnormal sugar metabolism na kufanya mtu apate kisukari[diabetic mellitus] tayri ishajulikana na muda si muda wataifanyia for up,pia gene inayocomand aotomatic over proliferationya cell kusababisha cancer tayir ishajulikana ipo location ya ngap kweny DNA kwa hiyo ile research imekula matirioni ya pesa kuscan whole DNA gene sequence na tayari familia chache tajiri duniani zimefanyiwa DNA gene sequence analysis kubaini kama kuna mwanafamilia ameinherit abnormal gene ya ugonjwa wowote ili wazuie wasije pata mtu mlemevu badae kwenye familia hiyo,,,,,,,tukifanya DNA gene sequence analysis tutakuwa na uwezo wa kudetect abnormal genes within the DNA gene sequence na kupredict kuwa baada ya miaka flani huyu mtu atakuja kuwa na ugonjwa fulani kwan abnormal genes za magonjwa yote tutakuwa tunazijua.....so keeep waiting how nanotechnology is going to fantasy the universe
yeah Mungu katupa akili tuzitumie.....kuzitumia vizuri kama hivi ni vzuri kuliko kutengeneza silaha za maangamiziHilo linawezekana kabisa kwa uwezo wa mungu kupitia mwanadamu
fact.....usibishane na nanotechnology,,,ile technolojia ni mwisho aise,,kuna mambo mengi yanafanyiwa test ikiwemo la mtu kukaaa mwezi mzima bila kura na tayari wameshaanza kufanikiwa kwa hilo huko Australia ,,,,,wamecheza na satient center kwenye brain na wamefanikiwa kwa hilo sema hawajaanza kuweka wazi...yani ukiona wametoa article flani juu ya jambo fulani ujue ilimeshafikiwa tamati au bado kidgo tu ila washaona possible outcomes ya jaribio hilo,,,wenzetu wapo very makini kwa tafiti na huwa wakiona negative result juu ya kitu flani wanabun kimya kimya utafit ule bila hata kuuambia ulimwengu kuwa wameprove failure..so inawezekana kabisa...ukitaka kuamini zaidi soma kitabu cha physics of the future written by michio kaku ndo utaelewa kuwa hilo jambo linaenda kufanikiwa kwa 100% kabsaaa,,,mimi sibishi aise i believe the outcome

factNaamini huku afrika watu wengi hufa kirahisi sana kuliko huko mbele...kuna wengine huwa wamezima tu kwa mudavila kutokana Na mihemko ya maisha Na halingumu za maisha doctor anaamua ahh keshakufa pelekeni mortuary! Kumbe MTU mzima!ndio kiss zimeshakuwepo story za walinzi wa mortuary kutimua mbio baada ya kusikia maiti imepiga chafya!case hizo zimetokea sana
pitia na hapa kwenye huu uzi utagundua kitueveryday day of your life is the part of learning.....dunia ina mambo mengi kuna kipindi unaweza fuatilia kitu ukapata information juu ya jambo flani ukazani umeijua wew kumbe watu wapo dee juu ya hilo ila wapo kimya..but keep sharing ideas increases your awareness,,ukitaka kujua mengi toa uliyonayo utaona watu wakileta zaidi ya uliyonayo kichwani... kiukweli JF ni kisima cha mambo mengi ,,sometimes i call it the area of collective awaresness
Aliwezaje kurudisha eti.Pumzika kwa amani mwanasayansi wangu VICTOR FRANKEINSTEIN hakika wewe ndio uliweza kurudisha uhai wa mwanadamu lakini sio haa wengine wanaotafuta kiki.
Aliwezaje kurudisha eti.
Hii ni fiction tu kama wakina alan quarterman...Pumzika kwa amani mwanasayansi wangu VICTOR FRANKEINSTEIN hakika wewe ndio uliweza kurudisha uhai wa mwanadamu lakini sio haa wengine wanaotafuta kiki.
Haujui kwamba hata kuatempt kumtibu mgonjwa wa ugonjwa wowote ni kuingilia "kazi ya Mungu"?wazungu wanataka kujaribu kila kitu wanaingilia hadi kazi za Mungu sasa