KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Tupo wengi mkuu hata mimi huwa nawashwa sana kipindi flani, au wakati wa usiku utakuta mwili unavimba sana bila maumivu, ikifika asubuhi asubuhi uvimbe wote unapoteaKuna kipindi ulikua unawasha ivi nikatumia kila aina ya dawa na hasa zile za aleji,napona lakini nkisha acha tu, naendelea kuwashwa.
Mwisho nikaacha kuhofia usungu. Nikaendelea kuwashwa , nikaja kujikuta nimepona kwa zaidi ya mwaka sasa.
Cha ajabu sasa nina wiki ka ya pili nawashwa balaa.
Wakuu ushauri wenu tafadhali. NB:Nilishapimaga alergy Hospitali flani lakini nimetajiwa vitu ambavyo situmiagi.
jibu swali acha longolongoAsanteni pearlpierre Smile Kamuzu.
Mi naoga mara kadhaa, natumia sabuni, mashuka, chakula ambazo nilikua natumia wakati siwashwi.
Nawashwa hasa baada ya kutoka kuoga lakini hata baada ya masaa kadhaa naendelea kujikuna. Nikikomaa kujikuna natoka vipele.
Nawashwa hasa sehemu za mapaja,miguuni na mgongoni. Yaani najikuna sehemu moja mpaka natoka alama.
Pata dose ya minyoo kama hujatumia muda mrefu! for sure dont ignore!Kuna kipindi ulikua unawasha ivi nikatumia kila aina ya dawa na hasa zile za aleji,napona lakini nkisha acha tu, naendelea kuwashwa.
Mwisho nikaacha kuhofia usungu. Nikaendelea kuwashwa , nikaja kujikuta nimepona kwa zaidi ya mwaka sasa.
Cha ajabu sasa nina wiki ka ya pili nawashwa balaa.
Wakuu ushauri wenu tafadhali. NB:Nilishapimaga alergy Hospitali flani lakini nimetajiwa vitu ambavyo situmiagi.
jibu swali acha longolongo
Since umesema unawashwa baada ya kuoga nadhani mzizi wa matatizo unaanzia hapo!
- Unatumia mafuta baada ya kuoga?
- Ukioga sana unakausha mafuta naturally yaliyopo kwenye ngozi...Kwahio ngozi ina kuwa kavu na hali hio inasababisha muwasho....Inasaidia sana ukitumia fatty cream au ointment ili kuirejesha ngozi katika hali yake ya awali!
- Jaribu kubadili sabuni unayotumia kuoga inawezekana unareact na sabuni unayotumia...Sabuni nyingi zina maperfume na makorokoro mengi ambayo sio mazuri kwa ngozi...Tumia sabuni zenye low ph 5,5 na ambazo zipo neutral au zenye milde perfume...Narecommend DOVE
Jaribu hizo ideas nilizokupa kisha unipe feedback!Niceday!Asante mimi49
Asanteni pearlpierre Smile Kamuzu.
Mi naoga mara kadhaa, natumia sabuni, mashuka, chakula ambazo nilikua natumia wakati siwashwi.
Nawashwa hasa baada ya kutoka kuoga lakini hata baada ya masaa kadhaa naendelea kujikuna. Nikikomaa kujikuna natoka vipele.
Nawashwa hasa sehemu za mapaja,miguuni na mgongoni. Yaani najikuna sehemu moja mpaka natoka alama.
pole sana KakaJambazi,niliwahi kupata tatizo hilo miaka kadhaa iliyopita na baada ya mateso ya muda mrefu yaliyo sababisha nibadili sabuni ya kuogea,mafuta ya kupaka,kufua taulo kila siku,kubadili mashuka kitandani kila siku na mengine mengi bado tatizo liliendelea na nilikuwa nawashwa sana kila ninipomaliza kuoga,nilikuja kugundua tatizo hilo linaitwa AQUATIC URTICARIA (unaweza ku google kwa maelezo zaidi),ni aina ya ALLERGY/MZIO na mimi nilichofanya ni
1.Kuacha kabisa kuoga maji ya baridi ( nilikuwa nawashwa hata nikinyeshewa na mvua)
2.kujifunika mwili wote mara baada ya kutoka bafuni au kwa maneno mengine ni kutoruhusu mwili kupata upepo/baridi wakati bado haujakauka vizuri ( nunua bathrobe litakusaidia sana)
kwa hatua hizo chache tatizo lilipungua kwa kiasi kikubwa sana na kwa sasa limekwisha kabisa japo sithubutu kuoga maji ya baridi hata kaka nipo dar au tanga!

Bado unawashwa wewe jambakuzi? Tih tih tih tih.... Mara ya mwisho umeoga lini? Kwikwikwikwi.... Chezea Kova weyeeeeee