KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Kuna kipindi ulikuwa unawasha hivi nikatumia kila aina ya dawa na hasa zile za aleji, napona lakini nikisha acha tu, naendelea kuwashwa.
Mwisho nikaacha kuhofia usungu. Nikaendelea kuwashwa , nikaja kujikuta nimepona kwa zaidi ya mwaka sasa.
Cha ajabu sasa nina wiki ka ya pili nawashwa balaa.
Wakuu ushauri wenu tafadhali.
NB: Nilishapimaga alergy Hospitali flani lakini nimetajiwa vitu ambavyo situmiagi.