Mwili unawasha balaaa!

Mwili unawasha balaaa!

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,804
Reaction score
12,227
Kuna kipindi ulikuwa unawasha hivi nikatumia kila aina ya dawa na hasa zile za aleji, napona lakini nikisha acha tu, naendelea kuwashwa.

Mwisho nikaacha kuhofia usungu. Nikaendelea kuwashwa , nikaja kujikuta nimepona kwa zaidi ya mwaka sasa.

Cha ajabu sasa nina wiki ka ya pili nawashwa balaa.

Wakuu ushauri wenu tafadhali.

NB: Nilishapimaga alergy Hospitali flani lakini nimetajiwa vitu ambavyo situmiagi.
 
Unatakiwa utuambie unawashwa kivipi
Je ni baada ya kuoga labda?
Au ni baada ya kutumia au kufanya kitu fulani?
Au ni kutokana na hali fulani ya hewa?
Au wewe unawashwa tu mda wowote?
Em funguka kidogo.
 
unakula nyama gani? samaki kitimoto mbuzi au nini?
na hizo nyama zimepikwaje ? kuchemsha ? za kuchoma au ?????? tuanzie hapo

pili unaogaogaje passport size au full?
unatumia sabuni gani? zina sulphur?

tatu unatumia mashuka gani nylon polyster au cotton? pia nguo zako nyingi ni material gani? nylon au cotton au polyster?
 
Muwasho unaambatana na vipele au inakuwaje?

Historia haiishiwi wino.
 
Asanteni pearlpierre Smile Kamuzu.
Mi naoga mara kadhaa, natumia sabuni, mashuka, chakula ambazo nilikua natumia wakati siwashwi.
Nawashwa hasa baada ya kutoka kuoga lakini hata baada ya masaa kadhaa naendelea kujikuna. Nikikomaa kujikuna natoka vipele.
Nawashwa hasa sehemu za mapaja,miguuni na mgongoni. Yaani najikuna sehemu moja mpaka natoka alama.
 
Last edited by a moderator:
Huo ni mzio,na husababishwa na aina za vyakula
Inawezekana ni chakula/mlo unaoupenda na fanya uchunguzi ukijua uache mara moja..au nenda hospital ukapime
 
Kuna kipindi ulikua unawasha ivi nikatumia kila aina ya dawa na hasa zile za aleji,napona lakini nkisha acha tu, naendelea kuwashwa.
Mwisho nikaacha kuhofia usungu. Nikaendelea kuwashwa , nikaja kujikuta nimepona kwa zaidi ya mwaka sasa.
Cha ajabu sasa nina wiki ka ya pili nawashwa balaa.
Wakuu ushauri wenu tafadhali. NB:Nilishapimaga alergy Hospitali flani lakini nimetajiwa vitu ambavyo situmiagi.
Tupo wengi mkuu hata mimi huwa nawashwa sana kipindi flani, au wakati wa usiku utakuta mwili unavimba sana bila maumivu, ikifika asubuhi asubuhi uvimbe wote unapotea
 
Asanteni pearlpierre Smile Kamuzu.
Mi naoga mara kadhaa, natumia sabuni, mashuka, chakula ambazo nilikua natumia wakati siwashwi.
Nawashwa hasa baada ya kutoka kuoga lakini hata baada ya masaa kadhaa naendelea kujikuna. Nikikomaa kujikuna natoka vipele.
Nawashwa hasa sehemu za mapaja,miguuni na mgongoni. Yaani najikuna sehemu moja mpaka natoka alama.
jibu swali acha longolongo
 
Kuna kipindi ulikua unawasha ivi nikatumia kila aina ya dawa na hasa zile za aleji,napona lakini nkisha acha tu, naendelea kuwashwa.
Mwisho nikaacha kuhofia usungu. Nikaendelea kuwashwa , nikaja kujikuta nimepona kwa zaidi ya mwaka sasa.
Cha ajabu sasa nina wiki ka ya pili nawashwa balaa.
Wakuu ushauri wenu tafadhali. NB:Nilishapimaga alergy Hospitali flani lakini nimetajiwa vitu ambavyo situmiagi.
Pata dose ya minyoo kama hujatumia muda mrefu! for sure dont ignore!
 
jibu swali acha longolongo

Kiti moto nakula , jana sijala ila nawashwa sasa. Mashuka ni ya pamba na hapa nipo mkoa mwingine wiki sasa bado nawashwa.
Mi mwili wangu unajoto sana, huwa naoga hata mara 3 kwa siku maji yapo ya kumwaga sio ka hapo kwako ya kununua.
Sabuni na mafuta sijabadili ni yale wakati siwashwi.
Ngoma nimepima na ninayo HIV kiti, nikitaka najipima mwenyewe sasa iv.
 
Since umesema unawashwa baada ya kuoga nadhani mzizi wa matatizo unaanzia hapo!

  • Unatumia mafuta baada ya kuoga?
  • Ukioga sana unakausha mafuta naturally yaliyopo kwenye ngozi...Kwahio ngozi ina kuwa kavu na hali hio inasababisha muwasho....Inasaidia sana ukitumia fatty cream au ointment ili kuirejesha ngozi katika hali yake ya awali!
  • Jaribu kubadili sabuni unayotumia kuoga inawezekana unareact na sabuni unayotumia...Sabuni nyingi zina maperfume na makorokoro mengi ambayo sio mazuri kwa ngozi...Tumia sabuni zenye low ph 5,5 na ambazo zipo neutral au zenye milde perfume...Narecommend DOVE
 
Asante mimi49
 
Last edited by a moderator:
Asanteni pearlpierre Smile Kamuzu.
Mi naoga mara kadhaa, natumia sabuni, mashuka, chakula ambazo nilikua natumia wakati siwashwi.
Nawashwa hasa baada ya kutoka kuoga lakini hata baada ya masaa kadhaa naendelea kujikuna. Nikikomaa kujikuna natoka vipele.
Nawashwa hasa sehemu za mapaja,miguuni na mgongoni. Yaani najikuna sehemu moja mpaka natoka alama.

pole sana KakaJambazi,niliwahi kupata tatizo hilo miaka kadhaa iliyopita na baada ya mateso ya muda mrefu yaliyo sababisha nibadili sabuni ya kuogea,mafuta ya kupaka,kufua taulo kila siku,kubadili mashuka kitandani kila siku na mengine mengi bado tatizo liliendelea na nilikuwa nawashwa sana kila ninipomaliza kuoga,nilikuja kugundua tatizo hilo linaitwa AQUATIC URTICARIA (unaweza ku google kwa maelezo zaidi),ni aina ya ALLERGY/MZIO na mimi nilichofanya ni

1.Kuacha kabisa kuoga maji ya baridi ( nilikuwa nawashwa hata nikinyeshewa na mvua)

2.kujifunika mwili wote mara baada ya kutoka bafuni au kwa maneno mengine ni kutoruhusu mwili kupata upepo/baridi wakati bado haujakauka vizuri ( nunua bathrobe litakusaidia sana)

kwa hatua hizo chache tatizo lilipungua kwa kiasi kikubwa sana na kwa sasa limekwisha kabisa japo sithubutu kuoga maji ya baridi hata kaka nipo dar au tanga!
 
Asante sana LOCAL SPONSOR . Nitaitafuta iyo bathrobe mkuu.
 
Bado unawashwa wewe jambakuzi? Tih tih tih tih.... Mara ya mwisho umeoga lini? Kwikwikwikwi.... Chezea Kova weyeeeeee
 
Back
Top Bottom