Mwili wa Agnes Gerald 'Masogange' waagwa leo katika viwanja vya Leaders

Kuna mtu mwenye picha za madada wa Marehemu? Maana Mzee Waya ametamka ya kwamba ana mabinti watano.
 
Masogange kumbe kwao Utengule Mbeya, bila shaka Bujibuji amejumuika kwenda kwao kuzika!!
 
Pia kuna Utengule ya kupitia Mbalizi ,wenda Chunya,naona marehemu alikuwa Msafa na sio Mnyakyusa,Wanyakusa hawajianiki makalio
 
Tangulia Dada Agnes wote ni wapitaji hapa duniani
 
ataanzaje na yy ndo mnafiki mkubwa..alimtaja masogannge hadharan kuwa anatembea na bashite..na ana tumia drugs...
Yupo bize na lipstick ila ni kawaida sikumbuki lini nimemuona wema kwenye matukio ya hivi haendagi sio msiba sio sjui sherehe.... Ref events za idris kipindi kile.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…