Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Sawa mzeeKasemaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mzeeKasemaje
.Kasemaje
Most likely mwenzaKwan kidoti na Maso walikua na tatzo????
OoohoooooMost likely mwenza
Hawa dada zetu nao, ebu watuliage wafanye kaz watengeneze maisha yao kuliko kulialia na wanaume wanatafta security ya mkate wa kila sikuMost likely mwenza
Pia kuna Utengule ya kupitia Mbalizi ,wenda Chunya,naona marehemu alikuwa Msafa na sio Mnyakyusa,Wanyakusa hawajianiki makalioUtengule Usangu, unaingilia Igurusi, barabara ya Iringa - Mbeya, unafika kijiji cha Usangu then unaenda sasa kijiji cha Utengule, kwenye bonde la Usangu maarufu kwa kilimo cha Mpunga, ufugaji wa mbuzi na Ng'ombe, wakazi wake wengi wao wenyeji wa Mbeya, wasangu, wasafwa, wanyaki na wasukuma waliohamia na kuweka makazi yao katika hili bonde wakilima mpunga na mahindi na kufuga, nimepata kuishi kwa muda katika hili bonde.
Sikujua kama Masogange ni mzaliwa kutoka katika hiki kijiji.
Rest in Piece Agnes Masogange.
Mshana we mstarabu sana.. wanao kuoneya Mungu anawaona.@blaza musa samahani sana kama utakwazika na haya maneno yangu ila ishu zingine tuwaachie jinsia pinzani
ataanzaje na yy ndo mnafiki mkubwa..alimtaja masogannge hadharan kuwa anatembea na bashite..na ana tumia drugs...Hivi hata wema alienda kweli!
[emoji120] [emoji120] [emoji120] tumefundishwa kusamehe na kuishi kwa tafakuriMshana we mstarabu sana.. wanao kuoneya Mungu anawaona.
hawezi onyesha hata kope hapo aiseeataanzaje na yy ndo mnafiki mkubwa..alimtaja masogannge hadharan kuwa anatembea na bashite..na ana tumia drugs...
haswa[emoji120] [emoji120] [emoji120] tumefundishwa kusamehe na kuishi kwa tafakuri
Yupo bize na lipstick ila ni kawaida sikumbuki lini nimemuona wema kwenye matukio ya hivi haendagi sio msiba sio sjui sherehe.... Ref events za idris kipindi kile.....ataanzaje na yy ndo mnafiki mkubwa..alimtaja masogannge hadharan kuwa anatembea na bashite..na ana tumia drugs...
ataanzaje na yy ndo mnafiki mkubwa..alimtaja masogannge hadharan kuwa anatembea na bashite..na ana tumia drugs...
kaka usibishe umeona jana nyimbo walizokuwa wanapiga pale kumuaga zilikuwa za kinyakyusa zinapigwa halafu hata yeye alihojiwa na shilawadu akasema yeye ni mnyakyusa kabisaNi msafwa bwana
Kakukosea nini?Simpendi huyu binti wa katikati.