Lemutz hatoshi kwenye kitibila kumsahau lemutuz mwisho kabisaa [emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
Msafwa wa Mbeya, wasafwa ni kabila la milimani Mbeya vijijiniKumbe wa mbeya mbona wengine walidai wa mwanza.
Duuh masogange.
nyumbani kabisa huko dah!!Marehemu kazaliwa utengule karibu kabisa na kiwanda chetu cha nyama kijulikanacho kama Tanganyika parkers pia ni jirani wa ndugu yetu kmjenzi wa nyumba 75 aliekua mkurugenz TRA alietumbuliwa na magufuli si mbali sana kutok katikati mwa mji wa mbeya nauli mpaka nyumbani kwao ni shilingi buku mpaka mlangoni ukitokea mbeya mjini sehemu ikiwa na mazingira halisi ya ukijani
Duuh siamini aisee ngoja tumpokee.Msafwa wa Mbeya, wasafwa ni kabila la milimani Mbeya vijijini
Sio Utengule Mbalizi?Utengule Usangu, unaingilia Igurusi, barabara ya Iringa - Mbeya, unafika kijiji cha Usangu then unaenda sasa kijiji cha Utengule, kwenye bonde la Usangu maarufu kwa kilimo cha Mpunga, ufugaji wa mbuzi na Ng'ombe, wakazi wake wengi wao wenyeji wa Mbeya, wasangu, wasafwa, wanyaki na wasukuma waliohamia na kuweka makazi yao katika hili bonde wakilima mpunga na mahindi na kufuga, nimepata kuishi kwa muda katika hili bonde.
Sikujua kama Masogange ni mzaliwa kutoka katika hiki kijiji.
Rest in Piece Agnes Masogange.
Ohoooo!!!Steve Nyerere ndiyo mweka hazina wa rambirambi??
Mzee wajuaji haoUnajua kusoma saa kwa masaa 24 usiniambie kama hujafika hata la Tatu C