Mwili wa Agnes Gerald 'Masogange' waagwa leo katika viwanja vya Leaders

Mwili wa Agnes Gerald 'Masogange' waagwa leo katika viwanja vya Leaders

30603590_324936334700597_4167277643412013056_n.jpg
 
Marehemu kazaliwa utengule karibu kabisa na kiwanda chetu cha nyama kijulikanacho kama Tanganyika parkers pia ni jirani wa ndugu yetu kmjenzi wa nyumba 75 aliekua mkurugenz TRA alietumbuliwa na magufuli si mbali sana kutok katikati mwa mji wa mbeya nauli mpaka nyumbani kwao ni shilingi buku mpaka mlangoni ukitokea mbeya mjini sehemu ikiwa na mazingira halisi ya ukijani
nyumbani kabisa huko dah!!
 
Utengule Usangu, unaingilia Igurusi, barabara ya Iringa - Mbeya, unafika kijiji cha Usangu then unaenda sasa kijiji cha Utengule, kwenye bonde la Usangu maarufu kwa kilimo cha Mpunga, ufugaji wa mbuzi na Ng'ombe, wakazi wake wengi wao wenyeji wa Mbeya, wasangu, wasafwa, wanyaki na wasukuma waliohamia na kuweka makazi yao katika hili bonde wakilima mpunga na mahindi na kufuga, nimepata kuishi kwa muda katika hili bonde.

Sikujua kama Masogange ni mzaliwa kutoka katika hiki kijiji.

Rest in Piece Agnes Masogange.
Sio Utengule Mbalizi?
 
Daah kilio kilisikika baada ya mwili wa marehumu AGNES MASOGANGE
kuwa sili [emoji26] [emoji26]
 
Bado hajakua mwacheni, au kumjadi JF kunamkuza?
 
Remembering her wonderful and gentle soul will forever remain in our hearts. May she rest in peace!
 
Ameenda msibani lakini bado umemfungulia uzi wa kumdiss asiingenda sjui ingekuaje jamani. .
 
kachoka mapema sana!
mabaka yamemjaa miguuni ata sio vizuri
 
Wauza sura hawajui Msiba jamn waacheni akikua nayy ataenda msiban vzr
 
Back
Top Bottom