dikir kab can
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 1,499
- 2,667
hahah ungejikuta dunia nzima uko peke yakoAcheni tu.ningepewa ofa na mungu.
Ningechagua nisife milele.
Simpendi huyu binti wa katikati.
Nimeona tuhuma kwenye uzi mmoja hivi.Nime msikia baba yake anadai aliongea nae kwa simu dakika za mwisho na binti akamuaga bye bye!! Then simu alipokonywa alafu nduguyake akaanza kulia!! Baadae wakampigia sim wakamwabia ashafariki:
It seems she knew she was dying!
Kwa maelezo ya yule mzeee (baba) there is something wrong with the cause of her death!!!
Mkuu wewe umehudhuria??kwa swali hili nauhakika hujaudhuria na huenda sababu iliyokufanya usihudhurie ndo imemfanya pia na yeye asihudhurieWakuu mlioko dsm na vitongoji vyake na hata wale walioudhuria msiba wa mrembo masogange nilikuwa naomba kufahamishwa kama msanii wa bongo fleva Belle 9 alihudhuria kwenye msiba wa masogange
Namuona Mr over size akiwa na christian Bella ....yaani Mr over size anapendaga kuuza sura yeye na Lemutuz yaani sijui awa watu mwisho wao utakuwa UPI.
basi kwako huyo ndio wa kwanzaHakuna mnyakyusa anayeitwa Waya.
Huyo mwana mwenye kapelo ani ishi kimara stop over long tym na swaga zake za old school hip pop
basi wazaz wamechanganyikana kikabila yeye binafsi aliwahi kuhojiwa akasema yeye ni myakyusa pureMkuu inawezekana ni msafwa.Agnes Gerald Waya.
Haya majina ya Waya ni ya wasafwa.,tena utamkaji wake unalivuta Yani (Waaya).
Nimemwona Diamond akimpa mkono Kiba.Kweli matatizo huwapa watu akili.
Anapenda kweli hio kaziSteve Nyerere ndiyo mweka hazina wa rambirambi??
Keshenzi haka katoto yaan msibani akakosa hata khangaAisee nimeona picha za Tunda akiwa kwenye msiba wa Masogange kwa kweli bora angebaki nyumbani... Mwanamke unaejielewa huwezi kwenda msibani vichips vyakoo umevaa suruali imebanaa na kishati sijui cha wapi...!! Naona kaenda kuuza sura tu pale aonekane nae alikuwepo.. Alafu kapo busy kanatumia simu tuu...!! [HASHTAG]#shwain[/HASHTAG]...View attachment 753289
Ni msafwa bwanasio msafwa mnyakyusa kabisa