Mwili wa Agnes Gerald 'Masogange' waagwa leo katika viwanja vya Leaders

Mwili wa Agnes Gerald 'Masogange' waagwa leo katika viwanja vya Leaders

Nime msikia baba yake anadai aliongea nae kwa simu dakika za mwisho na binti akamuaga bye bye!! Then simu alipokonywa alafu nduguyake akaanza kulia!! Baadae wakampigia sim wakamwabia ashafariki:

It seems she knew she was dying!

Kwa maelezo ya yule mzeee (baba) there is something wrong with the cause of her death!!!
Nimeona tuhuma kwenye uzi mmoja hivi.
 
Wakuu mlioko dsm na vitongoji vyake na hata wale walioudhuria msiba wa mrembo masogange nilikuwa naomba kufahamishwa kama msanii wa bongo fleva Belle 9 alihudhuria kwenye msiba wa masogange
Mkuu wewe umehudhuria??kwa swali hili nauhakika hujaudhuria na huenda sababu iliyokufanya usihudhurie ndo imemfanya pia na yeye asihudhurie
 
Mkuu inawezekana ni msafwa.Agnes Gerald Waya.

Haya majina ya Waya ni ya wasafwa.,tena utamkaji wake unalivuta Yani (Waaya).



Nimemwona Diamond akimpa mkono Kiba.Kweli matatizo huwapa watu akili.
basi wazaz wamechanganyikana kikabila yeye binafsi aliwahi kuhojiwa akasema yeye ni myakyusa pure
 
Aisee nimeona picha za Tunda akiwa kwenye msiba wa Masogange kwa kweli bora angebaki nyumbani... Mwanamke unaejielewa huwezi kwenda msibani vichips vyakoo umevaa suruali imebanaa na kishati sijui cha wapi...!! Naona kaenda kuuza sura tu pale aonekane nae alikuwepo.. Alafu kapo busy kanatumia simu tuu...!! [HASHTAG]#shwain[/HASHTAG]...View attachment 753289
Keshenzi haka katoto yaan msibani akakosa hata khanga
 
Back
Top Bottom